Cobra70
Senior Member
- Jan 2, 2020
- 178
- 376
Watanzania tuwe macho na hawa watu mana tunawezakuangamia kama si kuharibu kizazi chetu kijacho.
Watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, na kwa muonekano wao ukiwaangalia kwa haraka ni watu wenye huruma sana kwetu na maneno yao ukiyasikiliza kwa haraka unaweza ukahisi ni watu wametumwa kutoka mbinguni kuokoa binadamu wenzao hapa duniani. Yaani kwa kifupi wanajipambanua kuwa ni watu wenye upendo, kujali wenzao. na hofu ya Mungu.
Watu hawa wana sifa za kimuonekano kama zifuatazo; Wanafki, wabinafsi, wabaguzi, hawana hofu ya Mungu.
Kwa kifupi watu hawa wanatanguliza maslai yao mbele kuliko utu wa watu wengine. Pia hawapendi kuona watu wenzao wakipiga hatua ya maendeleo au wakifanikiwa katika nyanja mbalimbali hasa za kiuchumi.
Watu hujionesha kusaidia masuala ya kijamii na masharti yao hujikita kukubana kwenye masuala ya kiuchumi na kitaalamu.
Watu hawa ukiingia nao kwenye mikataba ya kiuchumi basi huweka masharti yasiotekelezeka na hivyo kukunyonya maradufu kama sio kubinafsisha miradi mlioingia nao mkataba pale unaposhindwa kutimiza masharti yao.
Pale watakapohisi unapiga hatua ya kimaendeleo, kiuchumi au mnazidi kujitanua zaidi kulingana na utajiri wa rasilimali mlizo nao Basi hutumia mbinu mbili kuwaangamiza yaani kudhoofisha watu na uchumi wao.
Mbinu hiyo huwa ni VITA ya SILAHA au MAGONJWA. Mala nyingi kutokana na sifa yake ya unafki huwa haingii yeye mwenyewe bali hutumia watu wenye sifa za kimuonekano kama wao wenye ubini wa ile jamii wanayoenda kuivamia.
Kwa Afrika hutumia zaidi wanasiasa (vyama vya siasa), Makanisa (madhebu mengi), Asasi za kiraia (NGO), Wataalamu elekezi (WASOMI BINGWA) na wamiliki wa mitandao ya kijamii (blogs).
Watumishi wengi wa maeneo haya ni waafrika wenzetu lakini ndio WASALITI wa waafrika wenzetu. Ni wabinafsi kutokana na uchu wa madaraka na wengine kujali maslai yao pamoja na familia zao. Kikundi kidogo au mtu mmoja mmoja wapo ladhi kuangamiza mamilioni ya wenzao kwa kitita cha fedha na ahadi nzuri lukuki.
TAHADHARI; Watu hao kulazimisha matakwa yao kupitia kwa WANASIASA mana huwa ni njia nyepesi kupita zote kwasababu wanasiasa huchukua sehemu kubwa ya jamii.
USHAURI wangu wa bure hii ni DUNIA tunapita tutakufa tutayaacha hayo mabilioni na wapo waliokufa na kuyaacha. Baada ya kufa kuna maisha je tutajibu nini kwa MUNGU. Kiuchumi mnatuzidi bado mnataka kutuangamiza. Mbona mnakuwa na roho za kinyama hivyo?
Korona ipo ni jukumu letu kuchukua taadhari. Vyakula vyetu vya mimea ya asili kama tangawizi, limao, kitunguu swaumu changanya chemsha vizuri weka asali korona kwishnea. Tembea unamung'unya TANGAWIZI kama pipi unapokuwa kwenye mihangaiko yako tuone hiyo korona inatokea wapi.
Watu wengi wamepata dalili za korona na wamepona kwa mbinu hiyo. Kufa kupo ila kwa MAGONJWA mengine nyemelezi na kulingana na kinga za mwili kama ni dhaifu.
Covid 19 VACCINES SIZIUNGI MKONO naomba tusije TUKALAZIMISHANA huko mbele. Kila mmoja aruhusiwe kuwa na maamuzi yake. AHSANTE.