Je, wajua asili ya jina Afrika?

Tangu hapo kale Afrika ilikuwa haiitwi Afrika au bara la giza (Dark Continent)

ilikuwa ikiitwa Edeni au Ake-blan

Edeni au Ake-blani maana yake mama wa mwanadamu

Neno Afrika, ni neno la kilatini lenye maana ya mtu aliyeungua.

Si unaona kusomeshwa na kuhitimu ujinga huko.

Hapo mzungu (mlatini) anakutukana na wewe unachekelea kuwa umesoma.

Hebu someni tarikh za akina Ibn Batuta ambae ni msafiri na mvumbuzi wa kutukuka kabla ya hao walatini.

Soma tarikh za Ibn Khaldun uelewe kiini cha tarikh (historia).

Mkiendelea kusoma hizo historia za kujazwa ujinga za wazungu basi hamtatoka utumwani maisha yenu.

Tazameni upande wa pili wa shilingi.
 
Reactions: dtj
Teh teh kwa hiyo ni sahihi kabisa tuamini huu uarabu wako kama maana ya Afrika na sio Kilatini ama Kigiriki hapo juu ?
Huwezi kuutenganisha Uarabu Afrika.

Asili na fasili ya Uarabu ni Afrika na Asia Uarabu ulikwenda tu.

Uarabu ni nini?

Neno Arabia maana yake ni (caravan) msafara, Waarabu ni wasafiri na Uarabu ni lugha, misafara ya kibiashara ilikuwa ikijumuisha watu wa kutoka sehemu mbali mbali za hili bara ambalo sasa linajulikana kama Afrika lakini kabla likijulikana kwa vipande vipande na si kikontinenti kama ilivyo sasa. Haya makontinenti kihistoria ni mambo ya hivi karibuni tu.

Maarufu katika hivyo vipande ni Sheba, Habash, Sudan (Kurma, sehemu ya falme za Kush) Nubi/Nuba, Nri, Mali, Ghana, Senar, Saloum, Zimbabwe, Sahel, Magharibi, Barbara, Fulani, Sofala, Zenj, Kilwa, na nyingine nyingi ambazo sikuzitaja kwa sasa.

Misafara (Arabiya) ilipita kote huko na kuungana na msafara mmoja wapo unapofika unapokwenda hubaki na mingine kuunga na kuendelea, hakuna wakati misafara iliisha.

Na lugha kubwa iliyotumika katika hiyo misafara ni Kiarabu, kwa maana lugha ya msafara (Arabiya).

Hapo ndipo unapopata maana ya Uarabu.

Uarabu ni Uafrika to the dot.

Achana na historia za kujazwa ujinga na wazungu. By the way, hayo mataifa na miji niliyokuandikia hapo juu iliteketezwa kwa namna moja au nyingine na wazungu kwa makusudi kabisa.

Utakuta misafara iliyotoka Kaskazini, kwa asilimia nyingi ni jangwa na hakuna mapori au vichaka vya kujificha, na kuingia (au kutoka) Kusini ya Sahara basi iliitwa misafara inayoenda Afrikiya (kuliko jificha) kwa ajili ya mapori manene ambayo ukiingia mita moja tu huonekani. Ndiyo maana na jina Afrika lilipotokea.

Source, mimi mwenyewe.

Majina ya miji na falme niliyoyataja juu hapo, unaweza kuyapata uki Google.

Maana ya neno Ifrit / Afrit unaweza ku Google ukaipata.

Tarikh (historia) ya Afrika ni ndefu na pana kuliko ya kwingineko kokote duniani. Na nnakuhakikishia huwezi kuipata kiukamilifu ukiisoma kutoka kwa wazungu pekee. Kuna mbadala.
 

Unanshangaza sana. Kwanza unafurahi kuwa sasa unatafuta historia ya kweli ya Muafrika halafu hapo hapo unaponda Waarabu kwa kuwa tu umejazwa ujinga na hao hao wazungu kuwa Waarabu Afrika ni "wakuja", fikiri.

Soma post namba 41 na 42 ujuwe Waarabu ni nani na Uarabu ni nini.
 

Hata hao wana Wa Israel,inasemekàna walikua wamechanganyika rangi .
Israelites walikua na makabila 12 ,moja kati ya makabila Yao NI watu weusi Ambao pia ndio waliokua wakitumika huko Egypt as slaves ,na ndio miongoni mwa watu waliookolewa na musa.but wazungu wameblock akil zetu kila prophet wao wana imagine kua walikua whites ,shida waafrica hawana taratibu za self improvement na kujisomea .ukiwakuta njian wapo busy but hujui wapo busy na nini
,wanajaza vitambi tu .
 
Elimu yetu yote History imeandikwa na maadui wakubwa waliotuchukia tokea mwanzo na bado tunaiamini kwamba ipo sahihi, haya ni maajabu.
Hapa kuna ukweli hawa watu weupe washenzi sana. Heko comred Mugabe
 
Shime tuifuatilie history yetu ya kweli. IPO.
 
NAFURAHI KUONA WAAFRIKA MNAANZA KUFAHAMU HISTORIA YENU....HAKIKA YESU ANAKARIBIA KURUDI..acha nitonyau ajifariji kujiita muisraeli wakati waisraeli hawakuwa weupe kamwe ....tumeibiwa historia yetu na hawa majambazi ....Marekani weusi wamesha hamka moto unawaka huko....
 
wewe ni mtumwa wa waarabu, unawahusudu waarabu wakati waarabu hao ndio waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa waliwauza babu zetu, wakawaingilia kinyume na maumbile, wakawachinja wote ndio maana hakuna masalia kule

achana na ujinga wa utapeli wa kidini
 
Teh teh kwa hiyo ni sahihi kabisa tuamini huu uarabu wako kama maana ya Afrika na sio Kilatini ama Kigiriki hapo juu ?

Mkuu kwani unashangaa nini - mbona Dunia nzima inatumua namba zilizo buniwa na Waarabu, Waarabu walikuwa mbali sana katika masuala ya hesabu na sayansi including uvumbuzi wa acids na bases (Alkali ni neno la Kiaarabu), karatasi, wino na kuchapisha vitabu - kama sikosei hata Chuo Kikuu cha kwanza Dunia kilianzishwa ba Waarabu, hapo Faiza anaweza kusaidia kufafanua zaidi.

Tatizo vitabu vingi vimeandikwa na nchi za magharibi kujisifu sifu kwingi na kusema uongo eti wazungu ndiyo walivumbua Bara la Africa ulaghai mtupu, hawataki kukubali kwamba Waarabu na Wachina walikuwa mbali kwa kila kitu, kundi hilo ndilo walikuwa wanatembelea Bara ka Afrika karne na karne kabla ya wazungu hata ramani ya mashariki mwa Bara la Africa walikuwa nayo, infact Wachina waliwahi kusafiri mpaka bara la Amerika kabla ya wazungu.
 
una matatizo wewe....itakuwa ulikataliwa siku ya harusi
 
Porojo ndeeeeeefu.

Afrika ni neno la Kiarabu linalotokana na neno "Afrit" kwa maana the hideous, iliyofichika.
ukht Faiza hapa kwetu Afrit ni mtu muovu au nachangaya matamshi
 
Sio kipare kweli hicho! Afika, Afrika...manake amefika aendako! Its make sense
hahaaaaa Kumbe na mpare nae aliefukuzwa milimani na wachaga huku MCHAGA akisema MPAREE maana yake PIGA, nae alishiki kutunga neno AFRICA
 
Asante sana umesaidia kutuelimisha kwa andiko lako
 
''MJEREMANI'' tunamuacha wapi kwenye historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla, kwann yy halaumiwi kama mmarekani na Mwarabu.
naomba juzwa.......
 
Porojo ndeeeeeefu.

Afrika ni neno la Kiarabu linalotokana na neno "Afrit" kwa maana the hideous, iliyofichika.
Kama porojo unachangia nini?have value on being civilized.Ungepungukiwa nini kumpongeza na kuongezea ulilosema?
[emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…