Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

Mkuu kuna watu, wana ujasiri mkubwa wa kudanganya, na hali wakikutazama usoni bila kupepesa macho. Na wanamaelezo yakutosha yaliopangiliwa vizuri.
 
Aisee hili jukwaa huwa lina chakula cha uzima.....asante mkuu nami nimepata kitu fulani
 
Mwisho wa siku wanaishia torture, hii ndio final hata wa bongo hii ndio wanaitumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…