Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

Kila kukicha jukwaa hili linazidi kukosa wale prominent members.
Mada imechokozwa vizuri lakini michango imekuwa michache.
Mada iko vzr sana tatizo wengi wanapenda story za udaku lkn vitu vya msingi kama hivi hawajali kabisa.....asante mleta mada kwa elimu nzuri
 
Hii mambo ya kila kitu hadi aandike fulani au kitoke kwenye kitabu flani nayo naona inalemaza, mbn hayo mambo ya kawaida watu makini wanayo, sio lazima kusoma darasani.
Ila fresh tu yote sawa.
 
hii mbinu nadhani ni ya kiandishi tu,sijui kama wanaitumia maana wote wanaoingia kwenye mikono ya kuhojiwa huwa wanakut
ana nacho
 
Back
Top Bottom