Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Dec 2, 2017 #61 Macho ku mchuzi,
gwankos JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 323 Reaction score 420 Jul 31, 2018 #62 James Comey said: Kila kukicha jukwaa hili linazidi kukosa wale prominent members. Mada imechokozwa vizuri lakini michango imekuwa michache. Click to expand... Mada iko vzr sana tatizo wengi wanapenda story za udaku lkn vitu vya msingi kama hivi hawajali kabisa.....asante mleta mada kwa elimu nzuri
James Comey said: Kila kukicha jukwaa hili linazidi kukosa wale prominent members. Mada imechokozwa vizuri lakini michango imekuwa michache. Click to expand... Mada iko vzr sana tatizo wengi wanapenda story za udaku lkn vitu vya msingi kama hivi hawajali kabisa.....asante mleta mada kwa elimu nzuri
storyteller JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,844 Jul 31, 2018 #63 Hii mambo ya kila kitu hadi aandike fulani au kitoke kwenye kitabu flani nayo naona inalemaza, mbn hayo mambo ya kawaida watu makini wanayo, sio lazima kusoma darasani. Ila fresh tu yote sawa.
Hii mambo ya kila kitu hadi aandike fulani au kitoke kwenye kitabu flani nayo naona inalemaza, mbn hayo mambo ya kawaida watu makini wanayo, sio lazima kusoma darasani. Ila fresh tu yote sawa.
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,069 Reaction score 3,899 Aug 1, 2018 #64 Useful Material
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Aug 1, 2018 #65 hii mbinu nadhani ni ya kiandishi tu,sijui kama wanaitumia maana wote wanaoingia kwenye mikono ya kuhojiwa huwa wanakut ana nacho
hii mbinu nadhani ni ya kiandishi tu,sijui kama wanaitumia maana wote wanaoingia kwenye mikono ya kuhojiwa huwa wanakut ana nacho