Moseskyey
Member
- Sep 12, 2021
- 32
- 23
Hello, Guys najua wafanya biashara wengi sana hawana website na wanafikiri kuwa kwao kuwa na website yake (Online Store) kama haina umuhimu au kuona kuwa kumiliki website mpk uwe na biashara kubwa sana, sasa leo nataka niwape faida zakuwa na website yako (Online Store)
Kama umefika hapa, bila shaka umeona jinsi gani kuwa na website inaweza kuinua biashara yako kutoka level ya kawaida hadi ya juu sana. Usiishie tu kuuza mtaani – nenda digital, fungua online store yako na ufikie wateja zaidi, uongeze mauzo, na ujenge brand yenye nguvu.
Usisubiri mpaka biashara yako iwe kubwa, anza leo – ukuaji huanzia kwenye hatua ndogo lakini sahihi.
Mimi naitwa Moseskyey – Web Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza websites na online stores kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Lengo langu ni kuhakikisha kila mfanyabiashara anapata nafasi ya kuwa online na kukuza biashara yake kwa njia ya kisasa.
1. Kuaminika
Wateja wengi siku hizi wanapenda kufanya biashara na kampuni au mtu ambaye ana “digital presence.” Ukiwa na website inayopendeza, yenye maelezo sahihi na picha nzuri za bidhaa au huduma zako, inaongeza imani kwa wateja. Wanaona hauko tu mtaani, bali uko “official” kabisa. Pia ukiweka testimonials au reviews, basi trust inakuwa juu zaidi!2. Kupata Wateja Zaidi
Website haifungwi kama duka la mtaa – iko 24/7 online. Hii ina maana mtu yeyote popote nchini au duniani anaweza kuona bidhaa zako, kuuliza maswali au hata kununua muda wowote. Hata ukiwa umelala, biashara yako bado inaendelea na kupata wateja wapya kila siku.3. Kushindana na Biashara Kubwa
Siku hizi si lazima uwe na mamilioni ili kushindana na kampuni kubwa. Ukiwa na website safi na ya kitaalamu, unaweza kuonekana professional kama wao. Hii inakupa nafasi ya kushindania wateja bila kujali ukubwa wa kampuni. Uonekane mkubwa hata kama unaanza kidogo!Kama umefika hapa, bila shaka umeona jinsi gani kuwa na website inaweza kuinua biashara yako kutoka level ya kawaida hadi ya juu sana. Usiishie tu kuuza mtaani – nenda digital, fungua online store yako na ufikie wateja zaidi, uongeze mauzo, na ujenge brand yenye nguvu.
Usisubiri mpaka biashara yako iwe kubwa, anza leo – ukuaji huanzia kwenye hatua ndogo lakini sahihi.
Mimi naitwa Moseskyey – Web Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza websites na online stores kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Lengo langu ni kuhakikisha kila mfanyabiashara anapata nafasi ya kuwa online na kukuza biashara yake kwa njia ya kisasa.
Kama unahitaji msaada kutengeneza website yako, nicheki inbox au comment “NAHITAJI WEBSITE” – nitakupatia maelezo yote bila stress. Let’s grow your business together!