Je, wajua faida za diplomatic passport?

Hiyo immunity ina kikomo na taratibu zake, inatakiwa imuwezeshe kutekeleza majukumu yake, haitakiwi kutumika kuvunja sheria za nchi husika.

Una fahamu hairuhusiwi kukamata mtu akiwa kwenye ubalozi wao, kwa mfano Mrusi akifanya kituko Marekani kisha akimbilie kwenye ubalozi wao, FBI wataishia kusubiri huko nje hata mwaka uishe.
 
Una fahamu hairuhusiwi kukamata mtu akiwa kwenye ubalozi wao, kwa mfano Mrusi akifanya kituko Marekani kisha akimbilie kwenye ubalozi wao, FBI wataishia kusubiri huko nje hata mwaka uishe.

Ubalozi wa nchi unawakilisha nchi husika ndio maana wanakua wapole.

Lakini haimaanishi diplomat akifanyakosa au kuvunja taratibu za nchi hachukuliwi hatua. Ile immunity ni kwa ajili ya kumsaidia kutekeleza majukumu yake.
 
Una fahamu hairuhusiwi kukamata mtu akiwa kwenye ubalozi wao, kwa mfano Mrusi akifanya kituko Marekani kisha akimbilie kwenye ubalozi wao, FBI wataishia kusubiri huko nje hata mwaka uishe.
Thubutu Rwanda au Tanzania uone wanakupeleka bongo tena kwa simu toka ikulu
 
Very useful information... kwahiyo zinapatikana vipi na gharama yake ni ipi?!...nataka niitafute ili niweze kufaidika na privileges ulizoziambatanisha kwenye bandiko lako.
 
Kwahiyo ulikua unatumia diplomatic passport ya nchi ipi?!
 
Kwahiyo paskali hukufanikiwa kupata gamba jeusi au jekundu?

Sent using Jamii Forums mobile app
No sio sikufanikiwa bali watumishi kwenye balozi zote wako kwenye two categories,
1. Maofisa ubalozi
2. Supporting staff

Wenye hadhi ya ubalozi ni maofisa ubalozi tuu, sisi wengine wote ambao ni supporting staff hatuna hadhi hiyo, na hata kwenye balozi zetu, sio Watanzania wote kule ni wana balozi, mfano ubalozi wetu wa UN pale New York, Executive Assistant wa balozi ni dada shemeji yetu,mke wa mwana jf mwenzetu humu, yeye sio diplomat, hivyo mabalozi wanakwenda na wanapita wanarudi yeye yupo.

Hivyo ndivyo nami nilivyokuwa.
P
 
Sijajua tunapishana kitu gani lakini hata hiyo link uliyoweka, inakwambia nchi husika haiwezi kuingia kwenye ubalozi wa nchi nyingine bila kibali au ruhusa. Ndio maana ukikimbilia kwenye ubalozi hautaguswa lakini taratibu za kukupata ukiwa ndani ya huo ubalozi zinakua tofauti. Soma hapa kwenye hicho ulichoweka kama rejea

Because diplomatic missions, such as embassies and consulates, may not be entered by the host country without permission (even though they do not enjoy extraterritorial status), persons have from time to time taken refuge from a host-country's national authorities inside the embassy of another country.

Umeelewa maana ya "without permission"?

Vilevile kumbuka nilikua namjibu jamaa aliyesema immunity inaweza kumfanya mtu abake binti au kufanya kosa na asichukuliwe hatua, ndio nikamjibu kwamba kimsingi immunity haimfanyi mtu kuvunja sheria za nchi husika na haimaanishi anakua juu ya sheria, tena anatakiwa kuwa mfano wa raia mwema kwa kutii na kuzingatia sheria za nchi.

Haujawahi kuona mtu mwenye diplomat status akipewa masaa 24 kuondoka ndani ya nchi flani?

Na sio tu ubalozi, hata ofisi zenye hadhi ya diplomat polisi hawawezi kwenda kuingia bila kibali na ruhusa maalum.

Hii inaenda hadi kwa mtu mwenye diplomatic status nae hawezi kukamtwa na polisi hadi ubalozi au mamlaka anayoifanyia kazi kuiwakilisha itaarifiwe.

Msingi wa hizo diplomat status ni kuwawezesha kufanya kazi zao bila vikwazo lakini sio kujinufaisha wao binafsi kwa kutokutii sheria.
 
Faida ni za aina ya passport au kuwa diplomat? Maana bila kuwa diplomat hupati aina hiyo ya passport.
 
Faida ni za aina ya passport au kuwa diplomat? Maana bila kuwa diplomat hupati aina hiyo ya passport.
Mimi pia Niko confused...au sijaelewa topic...zimeelezwa faida za kuwa na diplomatic passport na nimeuliza zinapatikana vipi ili na Mimi niitafute.. sijapata jibu..
 
Mimi pia Niko confused...au sijaelewa topic...zimeelezwa faida za kuwa na diplomatic passport na nimeuliza zinapatikana vipi ili na Mimi niitafute.. sijapata jibu..
Wengi Wanauliza swali hili, lakin Diplomat passport ndo inakutambulisha kuwa we we ni diplomat
 
kweli inafaida nyingi, tatizo kuipata bongo ina urasimu mwingi utadhani inakupeleka mbinguni!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuipata? Diplomatic passport huitafuti, Kuna vyeo ukiwa nacho kwa mujibu wa sheria zetu unatakiwa kuwa na diplomatic passport .
Na ukishapata hiyo hadhi (cheo) watu wa idara ya uhamiaji wenyewe wanakutafuta na kukutengenezea diplomatic passport.
 
Mimi pia Niko confused...au sijaelewa topic...zimeelezwa faida za kuwa na diplomatic passport na nimeuliza zinapatikana vipi ili na Mimi niitafute.. sijapata jibu..

Diplomatic passport huitafuti, Kuna vyeo ukiwa nacho kwa mujibu wa sheria zetu unatakiwa kuwa na diplomatic passport .
Na ukishapata hiyo hadhi (cheo) watu wa idara ya uhamiaji wenyewe wanakutafuta na kukutengenezea diplomatic passport.
 
Una fahamu hairuhusiwi kukamata mtu akiwa kwenye ubalozi wao, kwa mfano Mrusi akifanya kituko Marekani kisha akimbilie kwenye ubalozi wao, FBI wataishia kusubiri huko nje hata mwaka uishe.
Hiyo inaitwa principle ya sovereignty of state, kwa mujibu wa sheria za kimataifa ardhi au jengo linalomilikiwa na ubalozi inatambulika ni kama nchi iyo yenye ubalozi kwa hiyo hilo eneo halitakiwi kuingiliwa kwa namna yeyote na nchi husika ambao ubalozi upo.
Pamoja na ukweli huu nchini Libya wahuni walishavamia ubalozi wa marekani mjini Tripoli na kuwa watu akiwemo balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…