This is true, niliwahi kuajiriwa na FCO ya UK na kuwa posted Dar es Salaam pale UK Embassy as a political advisor, tulilipa kodi kwenye manunuzi tuu, kwa vile pesa yote ilikuwa inatoka kwao, tulikuwa exempted kodi zote, ila walitoa uhuru kwa wazalendo wanapenda nchi yao, wanaweza kuamua kuchangia kwenye PAYE as individuals.
Hata miradi yote ambayo ni donor funded, ina tax exempt.
Hiyo kazi niliiacha mwenyewe kwa uzalendo tuu, ila kiukweli hali ninayoipitia sasa na huu uzalendo katika mazingira haya ya sasa..., naikumbuka FCO!.
P