Je, wajua faida za diplomatic passport?

Diplomatic passport huitafuti, Kuna vyeo ukiwa nacho kwa mujibu wa sheria zetu unatakiwa kuwa na diplomatic passport .
Na ukishapata hiyo hadhi (cheo) watu wa idara ya uhamiaji wenyewe wanakutafuta na kukutengenezea diplomatic passport.
Hiyo ndio ilikua understanding yangu..SASA mshangao wangu ulikua ktk bandiko husika...sikupata mantiki yake.. iko kama mtoa mada anatuhamasisha kutafuta hizo books.. ndio maana nilikua nafanya interrogation hii ili nipate mantiki.
 
Hahaha mzee wetu Pascal Mayalla, kabla haja geuka msifiaji.

Ume nifundisha jinsi ya kusoma upepo, ushujaa sio sehemu yoyote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…