'(Barabara) za rough (road)'Habar Wadau
Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000.
Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami..
Angalizo: Iwe ni Kutoka TOYOTA product..
Ukiweka na picha ya Gari itapendeza zaid...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule wembamba sasaToyota Cami ndio jibu sahihi zaidi kukidhi kiu yako
mi nakupa hii ila bei ndo mziki...na sio toyotaHabar Wadau
Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000.
Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami..
Angalizo: Iwe ni Kutoka TOYOTA product..
Ukiweka na picha ya Gari itapendeza zaid...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio anayotaka huyo, hamna gari ya cc1500 ya sifa anazotaka yeye!
RAV4 cc1980 au cc1790
Around millioni 65 hivi.
Asante Mkuu.Toyota IST 2003 cc 1490 4WD iko vizuri sana naitumia mwaka wa 3, gari nyingine nanunua zinachemka kwa mishemishe zangu lakini hii IPO. Bei yake show room ni kati ya 11.5 hadi 12 million, ukiagiza ni kati ya 10.5 hadi 11 m
Sent using Jamii Forums mobile app