Je wajua Gari Nzuri kama hii...

Je wajua Gari Nzuri kama hii...

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
Habar Wadau
Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000.
Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami..

Angalizo: Iwe ni Kutoka TOYOTA product..
Ukiweka na picha ya Gari itapendeza zaid...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar Wadau
Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000.
Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami..

Angalizo: Iwe ni Kutoka TOYOTA product..
Ukiweka na picha ya Gari itapendeza zaid...

Sent using Jamii Forums mobile app
mi nakupa hii ila bei ndo mziki...na sio toyota
engine g16a cc1590 petrol 4wd inanguvu sana yaku engage
20190204_181408.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota IST 2003 cc 1490 4WD iko vizuri sana naitumia mwaka wa 3, gari nyingine nanunua zinachemka kwa mishemishe zangu lakini hii IPO. Bei yake show room ni kati ya 11.5 hadi 12 million, ukiagiza ni kati ya 10.5 hadi 11 m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu ofisini kwetu,

Ukishafikia uamizii wa kuahiza

Tunakuagizia kutoka kampuni yeyote ile uipendayo ... ambapo utapata fursa ya kuagiza gari lako kwa utaratibu wa malipo ya awamu awamu,

Mfano :

Kama alivyosema mdau hapo juu gharama ni kati 11m

Badala ya kulipia 11m
Unalipia 8,250,000 tu
2,750,000 unaimalizia kwa instalmernt ya hadi miezi saba huki gari ukiwa nalo mwenyewe.


Semsella Enterprises
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom