Je wajua! Hata Marekani kuna watu wamepiga matukio, yakiwemo ya mauaji na mpaka leo "haaajulikani' kwa vyombo vya dola?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.

Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!

Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
 
Amini nakwambia hapa Tanzania kuna watu wanapenda kujadili hayo matukio kuliko jinsi wanavyo chukia kutokea kwa hayo matukio.
Yani kinachomsukuma mtu kufuatilia na kujadili hayo matukio ni wale wanaohusishwa na ufanyaji wa hayo matukio na si kwamba anasukumwa na kuchukizwa kutokea kwa hayo matukio.
 
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.

Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!

Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Tofauti yetu na america wao vyombo vyao hutafuta wahusika hata kama kesi ita past 10 years and beyond.
Recently wamekuwa waki solve cases zilizo last up to 40 years na wakapata majibu na watuhumiwa kuwajibishwa

Polisi wa kwetu wanaweza hilo? Kufuatilia kwa muda mrefu mpaka kupata jibu?
 
Ulinganishaji uliojaa ujingaujinga mtupu.Kama ni hivyo:Marekani wameweza kupambana na maadui ujinga,magonjwa na umasikini kwa asilimia zaidi ya themanini.Vipi Tanzania imefikia wapi?Au ni kwenye kulinganisha upumbavu tu?
 
Naamini akiuwawa ndugu yako wa karibu utaelewa kuwa inawezekana kumpata mhalifu.

Natamani sana afe mtu wako wa karibu uone uchungu wake. Mungu yupo tu na anaona haya madharau yako.

Hao wanaouliwa wana watoto familia,Sasa ipo siku Mungu atageuza uone Upande mwingine wa shilingi ukoje
 
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.

Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!

Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Do, what do you want to prove?
 
Tofauti yetu na america wao vyombo vyao hutafuta wahusika hata kama kesi ita past 10 years and beyond.
Recently wamekuwa waki solve cases zilizo last up to 40 years na wakapata majibu na watuhumiwa kuwajibishwa

Polisi wa kwetu wanaweza hilo? Kufuatilia kwa muda mrefu mpaka kupata jibu?
Hata hapa wanatafutwa sana, labda wanaenda kujificha Rwanda au KongoDR
 
Naamini akiuwawa ndugu yako wa karibu utaelewa kuwa inawezekana kumpata mhalifu.

Natamani sana afe mtu wako wa karibu uone uchungu wake. Mungu yupo tu na anaona haya madharau yako.

Hao wanaouliwa wana watoto familia,Sasa ipo siku Mungu atageuza uone Upande mwingine wa shilingi ukoje
Wahalifu pia sio mazezeta, wana mbinu
 
Naamini akiuwawa ndugu yako wa karibu utaelewa kuwa inawezekana kumpata mhalifu.

Natamani sana afe mtu wako wa karibu uone uchungu wake. Mungu yupo tu na anaona haya madharau yako.

Hao wanaouliwa wana watoto familia,Sasa ipo siku Mungu atageuza uone Upande mwingine wa shilingi ukoje
Wahalifu pia sio mazezeta, wana mbinu, miaka mingapi imetumika kumpata Carlos The Jackal?
 
Hata hapa wanatafutwa sana, labda wanaenda kujificha Rwanda au KongoDR
Una record ya kesi hizo? Ambazo zinazaidi ya 40yrs na polisi wetu wana deal nazo?

Us wana taasis ambayo hata mtuhumiwa ujifiche wapi, they will come for you. Na hapa wanatumia profile ya taifa lao kupata vibali vya kumfuata mtuhumiwa popote alipo, hata kama ni nje ya marekani

Nyie mnaweza?
 
Sisi hapa bado taifa letu halina nguvu kama za USA, mtu hata akienda kukaa "no man's land pale mpakani kumkamata ni ngumu, tulihurumie jeshi letu la Polisi
 
So unakiri USA wana nguvu, is wana vyombo vya usalama makini. Kama hawana watu makini wasingeweza ku solve kesi wanazofuatilia or wangekuwa wanapotezea
 
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.

Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!

Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Kwahiyo tuendelee kupotezana na kuuwana kwa vile kwingine wanafanya hivyo..!!??

1. Huko kwa wenzetu wana ndoa za jinsia moja, unasemaje juu ya hili..??
2. Huko kwa wenzetu wana unmployment benefits, unasemaje juu ya hili?
3. Huko kwa wenzetu wana sexual workers rasmi, unasemaje juu yahili

etc

To me, issue si kwamba kwa vile mauwaji yapo duniani kote basi tuuwane tu, bali, je.!! Kuuwana ni sawa?

Siku akitekwa au akiuwawa wa karibu yako ndo utaelewa maana ya huo upupu uliouandika..!!
 
So unakiri USA wana nguvu, is wana vyombo vya usalama makini. Kama hawana watu makini wasingeweza ku solve kesi wanazofuatilia or wangekuwa wanapotezea
Tusiwalaumu Polisi wetu sasa kama kuna sehemu wanakwama kuwapata wahalifu, wakiomba bajeti ya kufanya mission ya kuwakamata, Lissu anataka hela ya ruzuku
 
Sisi hapa bado taifa letu halina nguvu kama za USA, mtu hata akienda kukaa "no man's land pale mpakani kumkamata ni ngumu, tulihurumie jeshi letu la Polisi
Kulihurumia jeshi lililotawanya utumbo wa Mwangosi haiwezekani..!! Ule utumbo angekuwa ametawanywa mpendwa wako ungejisikiaje?
 
Vita haina macho, hata vita ya Iraq tulipata neno "friendly fire", majeshi rafiki yanajikuta yanashambuliana bila kutarajia
 
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.

Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!

Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Yule muuaji aliyefyatua risasi kwenye kesi ya Zombe Koplo Saad Alawi hajapatikana mpaka leo .
Nashauri Policcm watume makarau kwenye sayari ya Jupiter atakauwa kajificha huko pamoja na waliotaka kumuua Lissu.
 
Back
Top Bottom