Tofauti yetu na america wao vyombo vyao hutafuta wahusika hata kama kesi ita past 10 years and beyond.Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.
Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!
Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Do, what do you want to prove?Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.
Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!
Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Hata hapa wanatafutwa sana, labda wanaenda kujificha Rwanda au KongoDRTofauti yetu na america wao vyombo vyao hutafuta wahusika hata kama kesi ita past 10 years and beyond.
Recently wamekuwa waki solve cases zilizo last up to 40 years na wakapata majibu na watuhumiwa kuwajibishwa
Polisi wa kwetu wanaweza hilo? Kufuatilia kwa muda mrefu mpaka kupata jibu?
Wahalifu pia sio mazezeta, wana mbinuNaamini akiuwawa ndugu yako wa karibu utaelewa kuwa inawezekana kumpata mhalifu.
Natamani sana afe mtu wako wa karibu uone uchungu wake. Mungu yupo tu na anaona haya madharau yako.
Hao wanaouliwa wana watoto familia,Sasa ipo siku Mungu atageuza uone Upande mwingine wa shilingi ukoje
Wahalifu pia sio mazezeta, wana mbinu, miaka mingapi imetumika kumpata Carlos The Jackal?Naamini akiuwawa ndugu yako wa karibu utaelewa kuwa inawezekana kumpata mhalifu.
Natamani sana afe mtu wako wa karibu uone uchungu wake. Mungu yupo tu na anaona haya madharau yako.
Hao wanaouliwa wana watoto familia,Sasa ipo siku Mungu atageuza uone Upande mwingine wa shilingi ukoje
Una record ya kesi hizo? Ambazo zinazaidi ya 40yrs na polisi wetu wana deal nazo?Hata hapa wanatafutwa sana, labda wanaenda kujificha Rwanda au KongoDR
Sisi hapa bado taifa letu halina nguvu kama za USA, mtu hata akienda kukaa "no man's land pale mpakani kumkamata ni ngumu, tulihurumie jeshi letu la PolisiUna record ya kesi hizo? Ambazo zinazaidi ya 40yrs na polisi wetu wana deal nazo?
Us wana taasis ambayo hata mtuhumiwa ujifiche wapi, they will come for you. Na hapa wanatumia profile ya taifa lao kupata vibali vya kumfuata mtuhumiwa popote alipo, hata kama ni nje ya marekani
Nyie mnaweza?
So unakiri USA wana nguvu, is wana vyombo vya usalama makini. Kama hawana watu makini wasingeweza ku solve kesi wanazofuatilia or wangekuwa wanapotezeaSisi hapa bado taifa letu halina nguvu kama za USA, mtu hata akienda kukaa "no man's land pale mpakani kumkamata ni ngumu, tulihurumie jeshi letu la Polisi
Kwahiyo tuendelee kupotezana na kuuwana kwa vile kwingine wanafanya hivyo..!!??Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.
Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!
Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Tusiwalaumu Polisi wetu sasa kama kuna sehemu wanakwama kuwapata wahalifu, wakiomba bajeti ya kufanya mission ya kuwakamata, Lissu anataka hela ya ruzukuSo unakiri USA wana nguvu, is wana vyombo vya usalama makini. Kama hawana watu makini wasingeweza ku solve kesi wanazofuatilia or wangekuwa wanapotezea
Kulihurumia jeshi lililotawanya utumbo wa Mwangosi haiwezekani..!! Ule utumbo angekuwa ametawanywa mpendwa wako ungejisikiaje?Sisi hapa bado taifa letu halina nguvu kama za USA, mtu hata akienda kukaa "no man's land pale mpakani kumkamata ni ngumu, tulihurumie jeshi letu la Polisi
Vita haina macho, hata vita ya Iraq tulipata neno "friendly fire", majeshi rafiki yanajikuta yanashambuliana bila kutarajiaKulihurumia jeshi lililotawanya utumbo wa Mwangosi haiwezekani..!! Ule utumbo angekuwa ametawanywa mpendwa wako ungejisikiaje?
Yule muuaji aliyefyatua risasi kwenye kesi ya Zombe Koplo Saad Alawi hajapatikana mpaka leo .Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.
Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!
Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako