Hii ni kwa wanawake au wote? Mwanaume unataka ngozi laini ili iweje ubabuliwe?Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka
ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru
Ila kinyume na hayo utakuwa na mwonekano wa ajuza mwenye miaka 90