The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Nchi ya San Marino imeshinda mechi moja tu kati ya mechi zaidi ya 200 iliyowahi kucheza. Mechi yao rasmi ya kwanza kucheza ilikuwa ni mwaka 1990.
Hata hivyo mechi hiyo ilikuwa ni ya kirafiki dhidi ya Liechtenstein ambapo San Marino walishinda 1 - 0 kwa free kick iliyopigwa na Andy Selva mwaka 2004.
Ukitoa mechi hiyo ya kirafiki, San Marino nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watu kati ya nchi wanachama wa UEFA; watu 33,000: Haijawahi kushinda mechi yoyote ile Rasmi inayoratibiwa na FIFA au UEFA.
Ushindi pekee waliowahi kuupa kwenye mechi Rasmi ni kutoa Sare na Turkey, Latvia na Estonia.
Hivyo tokea mwaka 2004 hadi mwaka huu 2023, miaka 19 sasa San Marino haijawahi kushinda mechi yoyote ile iwe ya kirafiki au mechi rasmi za FIFA na UEFA Katika mechi 129 walizocheza.
Note: Pichani ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya San Marino wakishangilia goli lao dhidi ya Liechtenstein.