Je, wajua hili kuhusu San Marino?

Je, wajua hili kuhusu San Marino?

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Nchi ya San Marino imeshinda mechi moja tu kati ya mechi zaidi ya 200 iliyowahi kucheza. Mechi yao rasmi ya kwanza kucheza ilikuwa ni mwaka 1990.

Hata hivyo mechi hiyo ilikuwa ni ya kirafiki dhidi ya Liechtenstein ambapo San Marino walishinda 1 - 0 kwa free kick iliyopigwa na Andy Selva mwaka 2004.

Ukitoa mechi hiyo ya kirafiki, San Marino nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watu kati ya nchi wanachama wa UEFA; watu 33,000: Haijawahi kushinda mechi yoyote ile Rasmi inayoratibiwa na FIFA au UEFA.

Ushindi pekee waliowahi kuupa kwenye mechi Rasmi ni kutoa Sare na Turkey, Latvia na Estonia.

Hivyo tokea mwaka 2004 hadi mwaka huu 2023, miaka 19 sasa San Marino haijawahi kushinda mechi yoyote ile iwe ya kirafiki au mechi rasmi za FIFA na UEFA Katika mechi 129 walizocheza.

Note: Pichani ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya San Marino wakishangilia goli lao dhidi ya Liechtenstein.

sanmariono.jpg
 
View attachment 2664310
Ndio kama hao Cr 7 huwa anapangwa nao kufuzu Euro anawapiga goli 8 mechi 2,Messi anakutana na timu ngumu kufuzu kule America ya kusini

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Nchi ya San Marino imeshinda mechi moja tu kati ya mechi zaidi ya 200 iliyowahi kucheza. Mechi yao rasmi ya kwanza kucheza ilikuwa ni mwaka 1990.

Hata hivyo mechi hiyo ilikuwa ni ya kirafiki dhidi ya Liechtenstein ambapo San Marino walishinda 1 - 0 kwa free kick iliyopigwa na Andy Selva mwaka 2004.

Ukitoa mechi hiyo ya kirafiki, San Marino nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watu kati ya nchi wanachama wa UEFA; watu 33,000: Haijawahi kushinda mechi yoyote ile Rasmi inayoratibiwa na FIFA au UEFA.

Ushindi pekee waliowahi kuupa kwenye mechi Rasmi ni kutoa Sare na Turkey, Latvia na Estonia.

Hivyo tokea mwaka 2004 hadi mwaka huu 2023, miaka 19 sasa San Marino haijawahi kushinda mechi yoyote ile iwe ya kirafiki au mechi rasmi za FIFA na UEFA Katika mechi 129 walizocheza.

Note: Pichani ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya San Marino wakishangilia goli lao dhidi ya Liechtenstein.

View attachment 2664310
Wateja wa CR7 hao
 
Dah! Wananchi wa hiyo nchi bila shaka watakuwa wanaishi maisha ya raha sana, kama ya hawa wakoloni wetu weusi wa ccm.
 
Idadi sawa na kata ya kijiji chetu cha kizuramimba,watu 33,000
 
Hawa ndo wa kubetia wakicheza.
Siku ukiwabetia ndio wanavunja mwiko kwa kwenda kinyume na beti yako. Kazi hii ni ngumu sana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom