Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Nchi gani inaongoza Kwa kuwa na watu wenye nywele nyeusi?Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
View attachment 3394815
Hahaha 😂Waweke na ya mama samia.
You know what they say about red heads, some of crazy b**ches out there, but they are fun 😂Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
View attachment 3394815
Hao ni majority kote Ulaya, Afrika, Asia na duniani kote mkuu🤣🤣🤣Nchi gani inaongoza Kwa kuwa na watu wenye nywele nyeusi?
Kuna bleach nyingi za rangi tofauti mkuuUkiweka bleach nywele zinakuwa nyekundu au nyeupe???
ChinaNchi gani inaongoza Kwa kuwa na watu wenye nywele nyeusi?
Nakazia hapa.Nchi gani inaongoza Kwa kuwa na watu wenye nywele nyeusi?
Vipi kuhusu pilipili za Afrika.Hao ni majority kote Ulaya, Afrika, Asia na duniani kote mkuu🤣🤣🤣
Siyo India mkuu?China