Hii tiba ya maumivu au ndo haliendelei kulika?Dawa ya jino bila kung'oa
Mahitaji
Mafuta ya taa mils10
Maji kikombe cha Chai 1
Malimao makubwa2
Jinsi ya kufanya.
Chemsha maji kisha weka vipande vya limao wacha vichemke pamoja na maji hadi vibadirike rangi.
Kisha tia hayo mafuta ya taa kwa dk2 tu ipue kwenye jiko yaache yapoe
Matumizi....
Kama jino limetoboka chukua mswaki chovya kwenye maji kidogo kisha kuwa kama unasukutua Fanya mara2-3 kwa siku kwa siku3-5.
Hii ni uhakika.
Tiba ya jino kienyeji tunasema mdudu anakufa kabisa japo litabakia na shimo ila hutaendelea kung'oa meno tena.Hii tiba ya maumivu au ndo haliendelei kulika?
Nitafanya hii tiba make meno yangu kwakweli ntazeeka na meno manne tu ya mbele,dawa inauma? 😁 NijiandaeTiba ya jino kienyeji tunasema mdudu anakufa kabisa japo litabakia na shimo ila hutaendelea kung'oa meno tena.
Ni uhakika
Aisee 🤔Dawa ya jino bila kung'oa
Mahitaji
Mafuta ya taa mils10
Maji kikombe cha Chai 1
Malimao makubwa2
Jinsi ya kufanya.
Chemsha maji kisha weka vipande vya limao wacha vichemke pamoja na maji hadi vibadirike rangi.
Kisha tia hayo mafuta ya taa kwa dk2 tu ipue kwenye jiko yaache yapoe
Matumizi....
Kama jino limetoboka chukua mswaki chovya kwenye maji kidogo kisha kuwa kama unasukutua Fanya mara2-3 kwa siku kwa siku3-5.
Hii ni uhakika.
Kuna dawa walinipa wamasai tena wale wa kupita tu, sijang’oa meno mda mrefu sana ingawa moja lina shimo kubwa kama handaki.Tiba ya jino kienyeji tunasema mdudu anakufa kabisa japo litabakia na shimo ila hutaendelea kung'oa meno tena.
Ni uhakika
AsanteDawa ya jino bila kung'oa
Mahitaji
Mafuta ya taa mils10
Maji kikombe cha Chai 1
Malimao makubwa2
Jinsi ya kufanya.
Chemsha maji kisha weka vipande vya limao wacha vichemke pamoja na maji hadi vibadirike rangi.
Kisha tia hayo mafuta ya taa kwa dk2 tu ipue kwenye jiko yaache yapoe
Matumizi....
Kama jino limetoboka chukua mswaki chovya kwenye maji kidogo kisha kuwa kama unasukutua Fanya mara2-3 kwa siku kwa siku3-5.
Hii ni uhakika.
Dawa zipo akitokea mtu atumie hii ni uhakikaKuna dawa walinipa wamasai tena wale wa kupita tu, sijang’oa meno mda mrefu sana ingawa moja lina shimo kubwa kama handaki.