Rungwe88
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 353
- 722
Sote tumeona hali hii mbaya kabisa kutokea katika nchi yetu nzuri, Hali hii mbaya kabisa ipo katika maeneo yote kama eneo la
a. Kiuchumi
hali ni mbaya sana hatukopesheki kimataifa kutoka kwa mashirika na jumuia za kimataifa kama Umoja wa Ulaya n.k Sasa nchi majirani wameanza kuacha kutumia bandari yetu kupitisha mizigo yao mfano Malawi, Zambia n.k wameanza kutumia bandari ya Beira nchini Msumbiji, pia Rwanda, Burundi, Uganda wanatumia bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa Kasi kubwa, kumekua na upungufu mkubwa wa pesa za kigeni baada ya wawekezaji kuanza kuondoa mitaji yao nchini, sekta ya utalii ipo katika hali mbaya na kusababisha watanzania wengi kupoteza ajira za mda mfupi na zile za mda mrefu.
b. Kiusalama
Usalama umekua mdogo sana Sasa, wananchi hawana amani mitaani, mtu akitoka asubuhi hana uhakika wa kurudi nyumbani salama badala ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji, mateso na mauaji kunakofanywa na utawala uliopo.
Watanzania Sasa wanaishi kwa hofu kuliko wakati wowote ule tangu tumepata uhuru.
3. Kisiasa
Hali ya kisiasa ni mbaya kuliko kawaida nchini Tanzania, watawala waliopo hawataki kukosolewa wanapofanya makosa, watawala waliopo wakiongozwa na samia hawataki kukatazwa wakiambiwa waache kufanya ufisadi, uhuni, ufahari n.k kwenye rasilimali za nchi.
Pia watawala waliopo hawataki wananchi wachague viongozi wanaowataka ila watawala hao wanataka waweke watu wao ambao watatoa pongezi hata wakikosea.
Katika hili eneo tunaona pia Kuna watanzania wapo magerezani kwa makosa ya uhaini, ugaidi n.k kwa sababu ya kukosoa utawala huu wa samia
4. Kidini
Watawala hawa wakiongozwa na samia wameanza kuleta na kuhubiri utengano wa kidini baina ya dini mbili kubwa nchini Tanzania yani ukristo na uislamu.
Watawala hawa wakiongozwa na samia wamekua wanatumia wahuni mbalimbali kwa Kofia ya dini ili kulazimisha ugomvi wa kidini baina ya dini hizo mbili
Swali ni je wewe kama mtanzania jukumu lako ni nini katika hali hii mbaya kabisa kutokea katika nchi yetu nzuri?
Kwa sasa nimesikia Kuna ambao wanamuachia Mungu, Kuna ambao wamekimbilia nje ya nchi, Kuna ambao wamekimbilia vijijini kujificha, Kuna ambao wapo kimya wakiogopa mamlaka za utawala huu ila mioyoni wana maumivu makali, Kuna ambao wanahamu ya kuondoa utawala huu wa samia ila hawajui waanzie wapi..!!
Sasa ewe mtanzania ambae unaendelea kukumbana na mateso ya utawala huu usijiulize kwamba utafanya nini, jambo la msingi angalia mkononi mwako una siraha gani, hivyo tumia hiyo siraha kwa namna sahihi na ujasiri ili kuondoa utawala huu ili tuondokane na mateso ya utawala huu.
Msomi tumia kalamu Yako kupaza sauti ndani na nje ya nchi ili kuondoa utawala huu,
Vijana na watu wazima andamana kadiri iwezekanavyo ili kumtoa huyo mwanamke kwenye uongozi, usitishwe na kufa na hizo kesi za uhaini sababu kila mtu ni marehemu wa kesho.
Vijana mliopo majeshini tumieni siraha zenu kwa uzalendo wa kweli ili kusaidia kuondoa utawala dhalimu wa samia n.k
Tumieni mifumo yote ya mitandao ya kijamii kupaza sauti kitaifa na kimataifa ili kuondoa utawala huu uliopo kumbukeni Umoja ni nguvu.
Nyoka hatari ameingia ndani ya nyumba yetu hii moja pekee tunayotegemea kuishi .
Hatuwezi kuikimbia nyumba, pia hatuwezi kuogopa sababu eti nyoka atatuua kwa kutung'ata lazima tumkabili nyoka samia kwa kila siraha tulizonazo ili kumuondoa katika nyumba yetu nzuri Tanzania (Tanganyika).