Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ww kwel mzizi mkavu wapaswa kuwatibia watu kwa kuwapa imani na huwez laumiwa, kumbe kuongea kote huko ulitaka kutangaza pilipili na hiyo mipunje yako ya mchele eti unatibu tezi dume, ww cio mgangq wa kienyeji kwel? unaweza toa uxhuhuda wa watu uliokwixha watibia ? ama kwer nmeamin muamba ngoma . Ila poa una haki kufanya hivo ci ulijua tayari uxhapata sehemu hucika ya kutangazia ili watu wapate kukuckia walau kama nawe unajua? poa wameona dawa zako na wazinunue dawa zako na wapone basi nione
Nobody will take you seriously at JF with... ci ulijua, hucika, uliokwixha, kukuckia... Lugha hii ya Facebook iache huko huko!