Je, wajua? Kifaa Tiba cha kusaidia moyo 'Pacemaker' kinaweza kudukuliwa?

Je, wajua? Kifaa Tiba cha kusaidia moyo 'Pacemaker' kinaweza kudukuliwa?

Haikuwa sahihi kupewa madaraka makubwa yanayohitaji mikimiki na pilikapilika ilitakiwa apumzike.
 
Kwa miaka hiyo aliyopachikwa hiyo makitu sidhani kama walikuwa na teknolojia hiyo au walau hata interest naye, labda kama mkituhakikishia alibadilishiwa hicho kifaa akiwa madarakani, its all possible ukizingatia tulikuwa tishio la mabeberu kiuchumi😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Msituchekeshe nyie tuko msibani
 
Kumbe hakuna kesi hata moja ya kudukuliwa kwa hicho kifaa...

Ina maana kipo salama...
 
Ni kama simu ya mkononi, kama ukiripoti hizo IMEI number kwamba imeibiwa kwa watengenezaji wanaweza kuizima isifanye kazi tena, wana disable. Kama moyo ukipata major myocardial infarction kutokana na kuziba mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo (coronary arteries), je pacemaker itaendelea kuwa effective. Kuna ripoti kwamba korona ina tendency ya kusababisha kuganda kwa damu (blood clots) kwenye vital organs ndo maana moja ya matibabu yake ni kutumia anticoagulant drugs, mfano Aspirin....
 
Kuna WATALAMUNYA WETU wamegang'ang'ania Corona,wao kila kitu wanaingiza siasa,wanaitwist agenda yoyote iendane na mitizamo yao ya siasa,hawangalii situation gani.

WATALAMUNYA hao wanaamini tokea Corona iibuke magonjwa mengine yame acha kuua.


RIP Magu.

'Jikinge kwa kufuata masharti ya wataalamunya wa afya',ikiwa ni pamoja na kuepuka mikusanyiko.
 
Back
Top Bottom