Kuna WATALAMUNYA WETU wamegang'ang'ania Corona,wao kila kitu wanaingiza siasa,wanaitwist agenda yoyote iendane na mitizamo yao ya siasa,hawangalii situation gani.
WATALAMUNYA hao wanaamini tokea Corona iibuke magonjwa mengine yame acha kuua.
RIP Magu.
Mzigo mzito Mtwike MNYAMWEZII..[emoji28][emoji28][emoji28]Haikuwa sahihi kupewa madaraka makubwa yanayohitaji mikimiki na pilikapilika ilitakiwa apumzike.