Je, wajua kitanda kina kazi mbili?

Je, wajua kitanda kina kazi mbili?

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,667
Reaction score
1,411
Habari

"JE, WAJUA KITANDA KINA KAZI MBILI?"

Hujui eeh ! Twende hizi hapa !

1. SLEEPING ...... KITANDA ni kwaajili ya KULALA , KUMBUKA kitanda sio sehemu ya kuwazia maisha yako(kama kuna kitu unakiwaza Sana jipe muda ,Fanya vile ambavyo unauwezo navyo sasa) ! ... Sio muda wa kuchat Na SMARTPHONE yako Bro ! KITANDA ni kulala hata wazo la ugumu wa maisha toa ! Jitahidi uweze kulala not less than 6 hours ( utapunguza usongo wa mawazo Na mambo yako yatanyooka )


2. SEX ..... KAZI NYINGINE YA KITANDA CHAKO NI SEX ... Hapa mtu hafundishwi kupakua Na kupalia ... Hujui eeh mcheki Demiss @pennymoney
---- usiruhusu MPENZI wako atumie simu akiwa KITANDANI ... Jifanye ndo Sheria zako ... Mwanamke atakuheshimu siku zote
 

Attachments

  • IMG-20190517-WA0000.jpeg
    IMG-20190517-WA0000.jpeg
    26.1 KB · Views: 41
Na hako kakisuguu kalikuwa ni kadogo kiasi gani, huyo mhuni kakiminya na kushindwa kujaza hata kiganja cha mkono!
 
Back
Top Bottom