Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja
Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa na segere chooni😁.
Hii ni kwasababu matunda kitaalamu huwa na Mchanganyiko wa vitamins ambavyo huwa havina tabia ya kukaa sana kwenye mwili wa binadamu kwani huwa havihitajiki kwa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja, Hivyo unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyewe mengi kwa wakati mmoja husababisha vitamins hivo kutoka kwa njia ya kwenda chooni kwasababu haviwezi kuhifadhika kwa wingi.
Epuka kunywa juice nyingi kwa wakati mmoja, 1 glass inatosha kabisa na ni vyema zaidi kuwa na utaratibu wa kupata anagalau tunda au Glass 1 kila siku