Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Sawa na kanuni zao zikoje ili kuwatofautisha?Na je sisi kama Binadamu ni kanuni Gani itufaayo kuifuata?!Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.
Malaika wa Mbinguni ni wale malaika pepo ambao wanatumwa na Mungu mwenyewe, wanaweza kukutokea katika umbo lolote, hata la njiwa, kipepeo, hata mbu!. Na kuna malaika wa duniani ambao ni watu, ni binadamu.
Wale Malaika wa Mbinguni hukaa mbinguni, peponi ambapo shetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni!.
Kazi ya malaika ni kutenda mema, na kazi ya shetani ni kutenda maovu.
Malaika akiasi, hugeuka shetani, anafukuzwa peponi na kutupwa motoni au ushetanini.
Malaika wa dunia ni hawa binadamu wanaotenda mema
Inaendelea ...
Mkuu, naona material ya Seminary umeishayapoteza. Hakuna shetani wa mbinguni. Shetani yuko hapahapa duniani, anawatesa watu, anawadanganya watu... akisubiri kuchomwa motoni pamoja na wote wasiomwamini Yesu.Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.
Malaika wa Mbinguni ni wale malaika pepo ambao wanatumwa na Mungu mwenyewe, wanaweza kukutokea katika umbo lolote, hata la njiwa, kipepeo, hata mbu!. Na kuna malaika wa duniani ambao ni watu, ni binadamu.
Wale Malaika wa Mbinguni hukaa mbinguni, peponi ambapo shetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni!.
Kazi ya malaika ni kutenda mema, na kazi ya shetani ni kutenda maovu.
Malaika akiasi, hugeuka shetani, anafukuzwa peponi na kutupwa motoni au ushetanini.
Malaika wa dunia ni hawa binadamu wanaotenda mema
Inaendelea ...
Unasemaje kuhusu mifumo ya Plepole? CCM-NIDA-INEC trioWanabodi

Atasema ni malaika wameitengenezaUnasemaje kuhusu mifumo ya Plepole? CCM-NIDA-INEC trio
unasemaje kabla ya CCM-NIDA-INEC? Kama ICT-WAZALENDO,CHAUMMA ambavyo vinaonekana kwa macho achilia vile vilivojifisha mfano UMD n.k ni watoto wa Chama hicho.Je, unaizungumziaje hyo Reforms?Unasemaje kuhusu mifumo ya Plepole? CCM-NIDA-INEC trio
shetani hakutupwa motoni. Alitupwa duniani. Siku ya hukumu ndio atatupwa motoni. Soma kitabu cha Ufunuoshetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni
yaa alitupwa Dunian lakin kafungwa minyororo hayuko huru kazi zinafanywa na wasaidizi wake.shetani hakutupwa motoni. Alitupwa duniani. Siku ya hukumu ndio atatupwa motoni. Soma kitabu cha Ufunuo
Mkuu, naona material ya Seminary umeishayapoteza. Hakuna shetani wa mbinguni. Shetani yuko hapahapa duniani, anawatesa watu, anawadanganya watu... akisubiri kuchomwa motoni pamoja na wote wasiomwamini Yesu.
Kweli hakutupwa moyoni,anasubiria moto na kikombe Cha mvinyo wa gadhabu ya Mungu !shetani hakutupwa motoni. Alitupwa duniani. Siku ya hukumu ndio atatupwa motoni. Soma kitabu cha Ufunuo
MotoniKweli hakutupwa moyoni,anasubiria moto na kikombe Cha mvinyo wa gadhabu ya Mungu !
Hoyi ghadhabu ni kali sana kwa kweli , kumbe hata hawezi kusamehe kama anavyodai sie tusamehe?🤔Kweli hakutupwa moyoni,anasubiria moto na kikombe Cha mvinyo wa gadhabu ya Mungu !
Biblia yako haina andiko hili?yaa alitupwa Dunian lakin kafungwa minyororo hayuko huru kazi zinafanywa na wasaidizi wake.
Mashetani wa duniani wako kazini wakiendeleza ushetani wao!.Mashetani wa duniani nao ni hawa binadamu wa kawaida kabisa wenye roho ya shetani ambao ni watenda maovu.
Mtu mwema wa Mungu anaweza kupotea na kuanguka dhambini, akatenda maovu. Kipindi hicho mtu mwema anapoanguka dhambini, anakuwa ni amekengeukageuka, anageuka shetani na ameingia ushetani kwa kujiunga na shetani na anakuwa anaishi ushetanini kama mtumishi wa shetani na akifanya kazi ya shetani!.
Mtu huyu mwenye roho ya shetani, anakuwa na two options, ama aongoke mwenyewe, atubu madhambi yake, kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa, anakuwa ameongoka, ameokoka na roho wa Mungu anarejea ndani yake anakuwa ni mtu mwema, anarejea kuwa binadamu malaika mwema.
Asipo ongoka mwenyewe, anaweza kuongolewa kama ilivyo tokea kwa Sauli na kugeuka Paulo, huyu akiongolewa, anakuwa ameongoka unakuwa umeongolewa kutoka ushetanini, then inambidi kubadilika kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa.
Kufuatia kilicho Humphrey Polepole, naomba mtanisamehe bandiko hili halitaendelea, limekuwa overtaken by events!.
Samahani sana.
Paskali