Baada ya sayansi kutufunua kwamba angani kuna nyota nyiingi, na galaxy yetu ya milkway ina sayari nyingi tu, huwa sielewi kwanini shetani na binadamu wote tunaishi duniani.
Ikiwa mungu alimtupa shetani alipaswa ampeleke huko Neptune au Jupiter, sielewi kwanini sisi binadamu atuweke Duniani na shetani naye amuweke Duniani.
Shetani alitupwa, maana nyingine Duniani ni kama Dampo la Mungu, sasa iweje nasi tuwe Duniani wana wapendwa?
Kama sisi ni waovu hakuna wa kuchomoa humu duniani wote ni takataka, au sisi ndio mashetani wenyewe.
Mungu hashindwi, ampeleke shetani mercury, Mars au Jupiter ikiwezekana.
sioni logic eti mzazi uwalaze wanao vipenzi jela na mifungwa mitukutu, wakati una uwezo wa kuwatenganisha waovu na wema.
Wazungu wanaishi na mbwa wao ndani, lakini mbwa ni mbwa tu habadiriki kuwa mwanadamu, na hata ukimfuga Punda kwenye banda la Ng'ombe hawezi kubadirika, sasa kwanini Mungu atuchanganye na Shetani mwovu Duniani?