King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Hello wana jamii kwema humu?
Kuna baadhi ya kazi/Shughuli ambazo watu wanazichukulia poa lakini zina kipato cha maana,
Kwa mfano kuna mtu namfahamu kazi yake ni kuzibua vyoo, lakini anakwambia anaingiza pesa za kutosha,
jamaa amekuwa maarufu kwa kazi hii, ana familia na maisha yanasonga kama kawaida,
Mfano mwingine kuna jamaa wawili (Brothers) nawafamu walikuwa wamachinga, mwisho wa siku wakafungua duka, baada ya muda wakafungua lingine, wakajenga nyumba za kupangisha, kwa kifupi wapo vizuri,
Main Point kazi ni kazi, usichague kazi huwezi jua utatokea wapi.