Je, wajua kuna kazi ambazo zinadharaulika katika lakini zina kipato kikubwa?

Ukonda wa daladala kuna jamaa namfahamu siku akishika chuma kushuka na 50k hizi kawaida sana per day sema ni mvivu sana mshkaji
 
Kuna jamaa yangu yuko canada anaokota makopo hyo kaz kanambia mm tu maana huwez sema mbele za watu, ila kajenga yuko vzur yani usafiri wa maaba huwez amini
 
Unahoja kwahiyo mwanawo unampigia pande akazibue vyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…