Je wajua kutokana na njaa pamoja na umasikini wananchi wa Kenya hulipiwa nusu ya bei ya unga na serikali?

Je wajua kutokana na njaa pamoja na umasikini wananchi wa Kenya hulipiwa nusu ya bei ya unga na serikali?

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Ugali flour goes missing
as government maize
subsidy ends

By Protus Onyango
Published: Jan 9th 2018 at 08:37, Updated:

January 9th 2018 at 09:02 NAIROBI, KENYA: Kenyans must brace for
hard times ahead as maize flour, which is a
staple food for
millions, goes missing from several shops.

A spot check by The Standard on Monday
revealed empty shelves in supermarkets in
Nairobi.

There was no subsidised flour, only
special brands that retailed at a premium
price of Sh225.

ALSO READ: Agriculture committee chair hits
out on millers for raising maize flour prices
Supermarket managers said they had run out
of the Government quota and were waiting
for fresh stocks from millers, which would be
priced between Sh130 and Sh150 per 2kg
packet.

In some supermarkets, only one brand
for ugali was available, selling at between
Sh150 to Sh154. However, all the
supermarkets surveyed had enough stocks of
baking flour.

Consumers will not only have to contend with
high prices but also a
maize flour shortage . Through the
Consumers Federation of Kenya (Cofek), they
are now calling for urgent Government
measures to save them from the prevailing
high prices.

Cofek Secretary General Stephen Mutoro has
blamed the Government and maize millers for
the current situation.

Ugali flour goes missing as government maize subsidy ends
 
Pamoja na serikali kuwalipia ruzuku ya unga lakini bado wakenya hununua kilo moja ya unga kwa 1500 za Tanzania maana yake bila serikali kuwalipia nusu bei wangenunua 3000 kilo moja ya unga wakati Tanzania kilo ya unga ni 700
 
Cheap is expensive...LDC perhaps.
 
SASA mbona wanasema wenyewe hawasubiri kusaidiwa na serikali ya KENYA??
 
Pamoja na serikali kuwalipia ruzuku ya unga lakini bado wakenya hununua kilo moja ya unga kwa 1500 za Tanzania maana yake bila serikali kuwalipia nusu bei wangenunua 3000 kilo moja ya unga wakati Tanzania kilo ya unga ni 700
a lier bongo ni ilikuwa 1500 too
 
Akili za kuazima hizi, ungekuwa nazo ningekuambia uchanganye na zako. Hueleweki.
 
Back
Top Bottom