Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Chewing gums na bubble gums zinatengenezwa kwa plastic. Kile kinachobaki baada ya utamu wa banzoka kuisha kinaitwa gum base. Sasa kile kinatokana na plastic na mpira(rubber) za viwandani. Plastic huwa na kawaida ya kutoa chembechembe ndogo za plastic(microplastic), hizo chembe chembe zimejulikana kuwa hatari kiafya, ikiwemo kusababisha cancer na ugumba.
Mabaki ya banzoka(gum base) ukiyameza hayameng'enywi wala ukiyatupa hayaozi! Singapore walipatia sana kupiga marufuku ulaji wa banzoka.
Mabaki ya banzoka(gum base) ukiyameza hayameng'enywi wala ukiyatupa hayaozi! Singapore walipatia sana kupiga marufuku ulaji wa banzoka.