Je wajua: Kuwa "banzoka" zinatengenezwa kwa plastiki?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Chewing gums na bubble gums zinatengenezwa kwa plastic. Kile kinachobaki baada ya utamu wa banzoka kuisha kinaitwa gum base. Sasa kile kinatokana na plastic na mpira(rubber) za viwandani. Plastic huwa na kawaida ya kutoa chembechembe ndogo za plastic(microplastic), hizo chembe chembe zimejulikana kuwa hatari kiafya, ikiwemo kusababisha cancer na ugumba.

Mabaki ya banzoka(gum base) ukiyameza hayameng'enywi wala ukiyatupa hayaozi! Singapore walipatia sana kupiga marufuku ulaji wa banzoka.
 
Aloo kila kitu ni ugumba, why??

Sir Alex ana watoto kweli?? Maana kila game alikua anazitafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…