Je, wajua kuwa hadi 2006 deni la taifa lilikuwa trilion 5 tu?!

Je, wajua kuwa hadi 2006 deni la taifa lilikuwa trilion 5 tu?!

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Hivi ni kwanini kasi ya ongezeko la deni la taifa limeongezeka zaidi ya mara 4 kwa kipindi kisichozidi miaka 10 tu tangu rais kikwete aingie madarakani? Toka trilion 5 mwaka 2006 hadi trilion 27.4!! je, mikopo hii inatufikia ipasavyo?
 
Mkapa alisema tutamkumbuka...ni kweli tutamkumbuka kwa kutuachia watawala mizigo.
 
Back
Top Bottom