Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Andiko ni refuu saaana ata nashindwa kupata point
 
Kauli ya IGP Siro jana, imenifikirisha sana !. Hata kama sio Lwakatare, inawezekana kuna mtu amemwaga mboga ?.

Maadam Kamanda Sirro amesema Jeshi la Polisi lina ushahidi, tusubirie kuusikia huo ushahidi wenyewe ali mradi usije kuwa ni kama ule ushahidi wa Masheikh wa Uamsho!.
Freeman Mbowe atendewe haki.
P
 
Wewe jamaa mpuuzi sana aisee!!!
 
Kwa hiyo ndio walisubiria vugu vugu la katiba mpya lianze kwanza? utashangaa utaposikia kesi ikiahirishwa- uchunguzi haujakamilika.
 
Mayala hivi mwendazake aligoma kabisa kukupa hata U-DC?
CDM tumeona mengi na kumbuka CDM ni wanachama na sio lwakatare au mayala.
 
Ndugu,
Polisi wetu waliishaacha weledi na kukazania rafu/kubambika kwa maslahi yao na washirika wao. Ipo mifano mingi ya aibu kwa jeshi hilo.
Pia IGP mzima kujitokeza kwenye 'press' kutamba wakati kesi iko mahakamani, ni ishara kuwa viatu alivyovaa vyazidi kumpwaya kila uchwao.
Kungine angekuwa alikwisha jiuzulu tangu matokeo ya kesi za akina Mduda mauaji ya Acquilina, lakini yaonekana hakujaaliwa uso wenye SONI.
 
Ninajishangaa nimefika vipi kwenye huu uzi?

 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Facts 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…