Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

CHADEMA is there to stay, mark my word, hata akiondoka Mbowe, hakuna wa kuimaliza CHADEMA na unaujua ukweli.[emoji817][emoji818]
 
Ila hapa Mgosi wa ndima ulitiririka kama Messi! Andiko hili linastahili kuwa rejea kwa wote wenye maneno mengi ya hovyohovyo wakidhani wanaweza kuhadaa wengine.
Ajabu ni kuwa muhusika hakukuelewa na hajabadilika ni sawa na umempigia mbuzi gitaa akiwa anakula majani.
Ila wapo waliokuelewa. Safi sana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Pasco mwongo sana ndiyo maana hata maccm wenzako wanakupotezea.
 
Hahahahahahaha Uzee na stress vinamtesa
 
Huyu mtu angepewa hata uteuzi wa Katibu Tarafa. Angeacha kuleta viutabiri fake kama hivi
Hii inaitwa from Hero to Zero.
Ukiangalia heshima aliyokuwa amejijengea humu JF hasa kile kitendo cha kishujaa cha kujitambulisha mbele ya Dikteta Jiwe kuwa ni member wa Jamiiforums kiliongeza hamasa humu, sasa angalia anavyomalizia mwendo!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi anapuyanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…