Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Nyie ndio mmeijulia Chadema kupigia jf!
Kiufupi huna ujualo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga tu,
Kwani vyama vya siasa ni vikundi vya ugaidi?
Vyama ni Sera na itikadi mkuu
 
Umeongea point hakuna mtu ambaye haijui chadema nje ndani Kama slaa, ameondoka na still wako imara sio rahis Kama anavyodhani
 
Lwakatare siyo mjinga ki vile,juzi kasema atakata rufaa within 14 days.
Ni wazi anatambua kuwa anawakilisha Chadema bungeni na sio CCM ndio maana anaomba appeal Chadema.
Yeye anasubiri azoe zile posho na marupurupu yake ya kikao hiki cha mwisho kama mbunge.
Harafu mtasikia antakavyowalamba sekretarieti ya Chadema miguu.
 
mkuu ukwapi nikupe bia mbili
 
Wewe uelewa wako ni mdogo sana nenda kasome anguko la NCCR lilikuaje. Chadema sasa imebaki na wabunge 15 toka 60+ huoni ni anguko la kasi ya ajabu subiri bunge livunjwe 30/06/2020.
 
Ukijua kwanini combination ya Mtei na Bob Makani ilianzisha Chadema sambamba na Marando kuasisi Nccr mageuzi hutamuofia kabisa huyo Lwakatare.

Chadema inaweza kufa kama Mtei atapenda iwe hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…