Je, wajua kuwa kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako?

Je, wajua kuwa kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako?

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu unachovaa

2. Zidisha kwa 5
3. Jumlisha 50
4. Zidisha kwa 20
5. Jumlisha 1013
6. Toa mwaka wako wa kuzaliwa
Hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni PM kwa kunipa matokeo.
 
Yawezekana ulishawahi
kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa
namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu unachovaa

2. Zidisha kwa 5
3. Jumlisha 50
4. Zidisha kwa 20
5. Jumlisha 1013
6. Toa mwaka wako wa kuzaliwa
Hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za
mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni PM kwa kunipa matokeo.

yap hiyo kitu ni kweli kwani mi mwenyewe nimehakikisha
 
daaah ni kweli yani ndo kusikia leo na nime #proove imekubali kumbe mathematic ni noumer
 
Mimi nilifikri itakuambia ulizaliwa lini? Ili akina Yusuf Masauni waliosalia tuwadabue, kumbe unataja kwanza mwaka wako wa kuzaliwa? Hakuna kitu kipya hapo!
 
yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanasayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. andika namba ya kiatu unachovaa

2. zidisha kwa 5
3. jumlisha 50
4. zidisha kwa 20
5. jumlisha 1013
6. toa mwaka wako wa kuzaliwa
hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni pm kwa kunipa matokeo.

mtu asiyejua mwaka wa kuzaliwa atajuaje kwa kutumia hy njia yako?
 
Yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu unachovaa

2. Zidisha kwa 5
3. Jumlisha 50
4. Zidisha kwa 20
5. Jumlisha 1013
6. Toa mwaka wako wa kuzaliwa
Hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni PM kwa kunipa matokeo.

tupe procedure za kutafuta mwaka wa kuzaliwa!!
 
Utu tumichezo tulichezaga kitambo aseee,kumbe bado tupo tu...!!
 
Wengine tunafikiria Boom. Wengine wanacheza makidamakida.
 
Yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu unachovaa

2. Zidisha kwa 5
3. Jumlisha 50
4. Zidisha kwa 20
5. Jumlisha 1013
6. Toa mwaka wako wa kuzaliwa
Hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni PM kwa kunipa matokeo.

Naona nami imewezekana!
 
Hesabu ambazo hazitoi suluhisho au ufumbuzi wa tatizo tunaziita hesabu za kujifurahisha me nilidhani itasaidia kujua mwaka wa kuzaliwa coz babu yangu hajui mwaka wake wa kuzaliwa.
 
Hata ukiweka namba ya kiatu sifuri inakupa jibu huu uongo.
 
Nilidhani kuna issue ya maana hapa kumbe -----!1. Andika namba ya kiatu unachovaa ...Namba ya kwanza ni size ya kiatu chako! THIS IS MEANINGLESS!
 
Hivi hesabu kama za marehemu sheakh yahaya .lakini ngoja nitest.

Kama hiyo imekushinda fanya hii:

image.jpg
 
Yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu unachovaa

2. Zidisha kwa 5
3. Jumlisha 50
4. Zidisha kwa 20
5. Jumlisha 1013
6. Toa mwaka wako wa kuzaliwa
Hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni PM kwa kunipa matokeo.

Ikifika 2014 na miaka ya mbele hii formula inakuwa invalid...kwa kuwa kuna mahali umeweka a constant/fixed value.
Formulas normally huwa zapaswa kuwa na variable(s)...ili kupata varieties za majibu kulingana na conditions.
 
Back
Top Bottom