Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,261
Yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu unachovaa
2. Zidisha kwa 5
3. Jumlisha 50
4. Zidisha kwa 20
5. Jumlisha 1013
6. Toa mwaka wako wa kuzaliwa
Hivyo, namba ya kwanza ni size ya kiatu chako, na namba mbili za mwisho ndiyo umri wako.
Fanya hivyo kasha ni PM kwa kunipa matokeo.
Miwatamu ulisoma ART nini? Sasa SCIENCE hapo imekusaidiaje kujua umri wako wakati huo umri umeingizwa kwenye calculation? Ni sawa nikisema Zero yaweza kukusaidia kujua umri wako. Nitakwambia chukua miaka yako, jumlisha na zero, jibu upatalo ndio umri wako. Hiyo hesabu yako haiwezi kumsaidia mtu kujua umri wake kama haufahamu. Ni blah blah za walimu wa primary school.
Last edited by a moderator: