Je, wajua kuwa kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako?


Miwatamu ulisoma ART nini? Sasa SCIENCE hapo imekusaidiaje kujua umri wako wakati huo umri umeingizwa kwenye calculation? Ni sawa nikisema Zero yaweza kukusaidia kujua umri wako. Nitakwambia chukua miaka yako, jumlisha na zero, jibu upatalo ndio umri wako. Hiyo hesabu yako haiwezi kumsaidia mtu kujua umri wake kama haufahamu. Ni blah blah za walimu wa primary school.
 
Last edited by a moderator:

Ingekuwa hutaji mwaka wa kuzaliwa ingekuwa kitu kipya,lakin kwa kutaja mwaka wa kuzaliwa hamna jipya...mnatutoa katika ajenda za kitaifa kwa upuuzi
 
Haya bana mtoa mada naona unakumbushia zile za fikiria namba isiyo zero(x), jumlisha yenyewe kwa yenyewe, jibu zidisha kwa 3 gawia kwa namba uliyofikiria mwanzo(x) jibu unapata 6 (ukibisha fanya).
Achana na hizo tricks za kitoto, learn hizapa math tricks mbili utabaki unashangaa how is that even possible.
NO.1
chukua umri wako, jumlisha 2, zidisha sifuri jibu ni 0.(anaebisha akatae)
ok seriously
NO.2
Urefu wa unyayo wako gawa 0.15 ni sawa na urefu wako. So nikiona viatu au nikiona nyayo yako naweza kujua how tall are you. For more pitia post and know how it works and used by the CSI in ID'ing the suspect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…