Je, wajua kuwa kunde za ----- ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Katika mimea ambayo ina aphrodisiac properties (mikuyati), kunde za ----- ndio ambazo zinaweza kupatikana kirahisi sana maeneo ya Tanzania. Unaweza kuzikaanga kama unavyokaanga karanga, kisha ukachovya kwenye asali na kutafuna kama karanga kidogo kidogo.
Tahadhari:
Usile nyingi (zaidi ya gramu 50) kwa wakati mmoja...
He! Naona neno upu.pu haliandikiki humu jf. Anyway! Upu.pu kwa jinsi ninavyolewa mimi ni mmea jamii ya kunde ambao kwa kitaalamu unaitwa Mucuna pruriens (buffalo bean). Humu jf ni tusi!!!!
 
Mkuu.@Tuko Kwenye Jukwaa hili unaweza kitu chochote cha Dawa sio matusi hata hiyo UPU.PU sio tusi hapa JF Doctor asante kwa dawa yako ingawa hujaeleza unatumia kwa siku ngapi? kutwa mara ngapi?
 
Katika mimea ambayo ina aphrodisiac properties (mikuyati), kunde za ----- ndio ambazo zinaweza kupatikana kirahisi sana maeneo ya Tanzania. Unaweza kuzikaanga kama unavyokaanga karanga, kisha ukachovya kwenye asali na kutafuna kama karanga kidogo kidogo.
Tahadhari:
Usile nyingi (zaidi ya gramu 50) kwa wakati mmoja...
He! Naona neno upu.pu haliandikiki humu jf. Anyway! Upu.pu kwa jinsi ninavyolewa mimi ni mmea jamii ya kunde ambao kwa kitaalamu unaitwa Mucuna pruriens (buffalo bean). Humu jf ni tusi!!!!

Mkuu bado sijakuelwa, naomba uongezee maelezo.
 
Mkuu, nilikuwa naandika kunde za upu.pu (hili neno ukiondoa hiyo nukta hapo kati haliandikiki hapa Jf). So kama unavyojua ule upu.upu unaowasha, hutolewa kutoka kwenye mmea fulani ambao ni jamii ya kunde. Sasa kunde za huo mmea ndio hushtua heshima ya nyumba. (Unaweza ku-goolge aphrodisiac properties of buffalo bean)...
 
JF Doctor inaendelea kutuelimisha! Ni vema ukatujuza ni mara ngapi kwa siku au wiki yafaa kwa "mgonjwa" kutumia hiyo tiba mbadala. Ahsante!
 
Back
Top Bottom