Je, wajua kuwa Mbeya inashika nafasi ya pili kwa vyuo vingi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
CHUO - SEHEMU

MUST - Iyunga
MCHAS (tawi la udsm) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT - Foresti
UTUMISHI (tpsc) - soko matola
ADEM - Foresti
UCC (tawi la udsm) - uzunguni
CBE – Mjini
TEKU - Block T
OPEN UNIVERSITY - Foresti
TUMAINI - uyole
KILIMO - Uyole
USTAWI WA JAMII - Uyole

Hivi ni vyuo vya juu kidogo, vingine hivi vya ufundi, unesi, ualimu, tourism, journalism, n.k vipo pia kama

VETA - Sae

Chuo cha afya cha st Aggrey - Mwanjelwa
Chuo cha ualimu cha Moravian - Forest
Chuo cha afya cha Mbalizi - Mbalizi
Chuo cha afya cha K's - Block T
Mbalizi Polytechnic College -Mbalizi
Chuo cha afya cha St. John - Mjini
Green College - Forest
Chuo cha afya cha Amenye
Gace college - Forest

Ila ndugu zangu wanyakyusa na wasafwa mnaniangusha, vyuo mmeletewa ila bado mpo wachache sana kwenye vyuo hivi, Una kuta darasa lingine halina hata mnyaki wala msafwa
 
MCHAS- UDSM.

Criteria za kuingia hivyo vyuo sidhani kama huwa wanauliza Kabila
 
MCHAS- UDSM..

Criteria za kuingia hivyo vyuo sidhani kama huwa wanauliza Kabila
Ni kweli ila kwatika hali ya kawaida ilibidi wanafunzi wanaohitimu hizi shule za seondari za Mbeya nilitegemea watajazana humo hususani katika kozi za certificate na Diploma
 
Daah, maisha yanaenda kasi. Enzi hizo niko Mbeya, TIA ilikuwa inaitwa DSA. Enzi hizo nakaa Mbeya MUST ilikuwa inaitwa MTC. Enzi hizo nakaa Morogoro, M~U ilikuwa inaitwa IDM-Mzumbe. Sasa tumebaki na transformation kwenye vyuo viwili 'tu'! IFM kwenda City University (C~U) na Sokoine University of Agriculture (SUA) kwenda Sokoine University (S~U) ili ku reflect maboresho yaliyofanywa/ yatakayofanywa kwa kuongeza kozi ambazo sio za kilimo.
Chuo cha IFM kimekuwa kikitoa digrii kwa takrabin miaka 10 sasa. Kimekwishakomaa hadi kufikia kupewa hadhi ya chuo kikuu kamili, ikienda sambamba na kupewa eneo lililokuwa ofisi za wizara ya afya baada ya wizara hiyo kuhamia Dodoma wafanye kama Administration block. Haina haja watu kujibana wakati majengo mengi ya serikali yako wazi.
Hii inawezekana kwa tamko la Rais (refer tamko la Mkapa kutoa chuo cha Tanesco- Morogoro na kuwapa Waislam hivyo kuzaliwa kwa Musilm University (MuM) au kwa Wizara kuwapangisha IFM kwa Tsh 1 indefinitely.
Kupandishwa hadhi kwa chuo cha IFM ni muhimu SANA kwani pamoja na mambo mengine, itasaidia kuwaongezea ushindani (marketability/ competitiveness) wahitimu kwenye soko la ajira za ndani na nje, lakini pia itatoa room kwa vyuo vya ngazi za chini kukua.
So far, ni jambo baya KABISA kukiacha chuo kikubwa, kikongwe na kilichojaa wabobezi kwenye hadhi sawa na Njuweni Institute of Hotel Catering and Tourism Management.
Screenshot_20210617-181457.jpg
 
View attachment 1821822
Mkuu huu uzi wa vyuo vya Mbeya sio dar🙂🙂
 
Umesahau Open University pale Forest na Chuo kikuu kishiriki cha ushirika Moshi Mbeya Campus
 
Nmekiweka mkuu, kumbe walihama uyole, naona pale mjini wamewaachia cbe
Pia umesahau Dental School Rufaa Mbeya

Ingawa vyuo vya Kati vya serikali na private ni vingi Sana.

Ila mkuu baada ya Dar nadhani inafuata Arusha kwa vyuo vingi ndio ije Mbeya na Dom
 
Back
Top Bottom