Je, wajua kuwa Rapa Lil Kim alirogwa na Tupac?

Je, wajua kuwa Rapa Lil Kim alirogwa na Tupac?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Segmund Freud kwenye kitabu chake," Introductory Lectures on Psychoanalysis " anasema "Words and magic were in the beginning one and the same thing and even today words retain much of their magical powers ".

Ni Kweli kabisa maneno Yana nguvu kubwa Sana. Yanaweza kuua Na kuhuisha.

Haya Sasa twende Kwa Tupac Na Lil Kim.

Tupac kwenye wimbo wake " Hit em up" anasikika akisema.

" Lil Kim don't fvk around with real G's quick to snatch yo' ugly ass off the streets."

Tangu Tupac amwambie Lil Kim maneno hayo, Lil Kim hajawahi kujiona mzuri , kujikubali Wala kujipenda.

Maneno ya Tupac ni kama yalikuwa yanajirudia RUDIA Kila siku kwenye ubongo wa Lil Kim.
Kama wasemavyo watu wenye hekima Na busara " The thoughts will always conceive the thinker" . Lil Kim amekuwa conceived by her own thoughts that she is ugly.

Mwisho wa siku Lil Kim kaamua kufanya surgery kubadilisha muonekano wa sura yake.

LESSON NUMBER ONE
Kuwa makini Zaidi unapo fungua kinywa Chako kumtamkia mtu maneno Kwa Sababu neno Moja linaweza kubadilisha/ kugeuza juu chini Maisha ya mtu huyo. ..

Katika ulimwengu WA roho ulimi Ni upanga Mkali Sana ulao kuwili Na maneno ni kama mshale so kuwa makini Sana unapokuwa una tupa mishale yako Kwa watu Kwa Sababu unaweza kugeuza Maisha Yao.

# Lil Kim was more beautifu when she was natural then now that she has undergone a nonsensical surgery.

She looks like she died last week.

N.B: kuwa makini Sana kama wewe nyota yako Ni mapacha " Gemini" watu wa nyota ya mapacha wanatajwa kuwa na midomo inayo UMBA yenye uwezo WA kipekee WA kuua Na kuhuisha..

Tupac was Gemini too. Matter fact Big Smalls too was gemini.

LESSON NUMBER TWO: NEVER PAY ATTENTION TO THE WORDS OF UR ENEMIES, FOR THEY SHALL GIVE U DIRECTION. They shall instruct you what to do and what not to do. Ona kama Lil Kim maneno ya Tupac yame muelekeza kitu Gani cha kufanya.

Lil'_Kim_crop.jpg

images (1).jpeg
 
Lil Kim wa mwaka 2017 baada ya surgery. Na hapa ni kabla ya kufanya surgery nyingine tena.

If u happen to c her recent pictures u will consider this picture as a child play. They are horrible As Fvk

615px-Lil_Kim_Mercedes_Benz_Fashion_Week_2012_(modified).jpg
 
Lil kim alipewa makavu hayo na tupac kwa sababu alikuwa upande pinzani wa notorious b.i.g, rejea wimbo waliofanya kolabo na kina p did wa hate me now
Yes I understand that, infact everybody understand that. I am talking about how Lil Kim was personally affected by the lyrics that aimed at him directly.
 
Since 96 she on TV like BET and MTV ,TRL ,106 ,She is "Bella" to that death , don't ask why Cause the "Mafia" is P-you-S-S-why.
Lil kim alipewa makavu hayo na tupac kwa sababu alikuwa upande pinzani wa notorious b.i.g, rejea wimbo waliofanya kolabo na kina p did wa hate me now

Hivi Hate Me Now wa Nas akiwa Backed Up na Puffy Daddy ilikuwa DISS kwa Kim?
 
Amechanganya madesa huyo jamaa, Hate me now umetoka mwaka 99 wakati Huo Tupac alisha vuta toka Enzi za Pontyo wa Pilato.
Since 96 she on TV like BET and MTV ,TRL ,106 ,She is "Bella" to that death , don't ask why Cause the "Mafia" is P-you-S-S-why.


Hivi Hate Me Now wa Nas akiwa Backed Up na Puffy Daddy ilikuwa DISS kwa Kim?
 
hate me now haukutoka 2001, ulitoka tayari tupac na big waliishafariki, wimbo ulikuwa tribute kwa member wao big, ikumbukwe kuwa wanamuziki wengi wa huko marekani waliishagawanyika pande mbili hasimu.

Upande wa pwani ya mashariki na magharibi na vinara walikuwa tupac na big halafu vifo vya hao majamaa ni utata mtupu kila upande unahusishwa kuhusika na mauji ya hao mastaa.

Walitungiana mashairi ya kupondana kila upande
 
Hate me now umetoka mwaka 99. And it was not a diss record. Even Steve Wonders can see this
hate me now haukutoka 2001, ulitoka tayari tupac na big waliishafariki, wimbo ulikuwa tribute kwa member wao big, ikumbukwe kuwa wanamuziki wengi wa huko marekani waliishagawanyika pande mbili hasimu, upande wa pwani ya mashariki na magharibi na vinara walikuwa tupac na big halafu vifo vya hao majamaa ni utata mtupu kila upande unahusishwa kuhusika na mauji ya hao mastaa. Walitungiana mashairi ya kupondana kila upande
 
Back
Top Bottom