Je, wajua kuwa Rapa Lil Kim alirogwa na Tupac?

Ila mada imeeleweka ni kuwa muangalifu na maneno unayowatamkia wengine yanaumba, sasa kama yanaumba utajinasua vipi na huo uumbaji usiotakiwa? Maana wengi hutaka kutamkiwa mazuri tu
 
Waswahili wakitaka kumtupia mja maradhi ya uwendawazimu huwa hawaendi Kwanza Kwa mganga but huwa wanaanza Kwa ku spread rumours mtaani kwamba Fulani amekuwa mwendawazimu.

Kwa mfano kama waswahili wanataka kumroga Kiranga maradhi ya wazimu wataanza Kwa kusambaza uzushi mtaani Kwamba kiranga ameugua wazimu. Kiranga akisikia uzushi Huo atapita mtaani kukanusha Kwa Kipaza Sauti kuwa yeye sio mwendawazimu . Kadri atakavyo kuwa akijaribu kukanusha kuwa yeye sio mwendawazimu ndio watu watakapo zidi kuamini kuwa kiranga Yu mwendawazimu Kwa Sababu MTU mwenye akili timamu haitaji kutembea mitaani Na Kipaza Sauti kuwaambia watu kuwa yeye si mwendawazimu.

Mwisho wa siku kiranga will be mad that the people in the community don't want to believe that he is not mad.

Hii iliwahi kumtokea Nuru Bint Nassor ( Nora) Yule muigizaji WA Kaole. Kisa alitembea Na mume WA MTU Yule mwenye mke akasambaza hizo rumours kuwa Nora amekuwa wazimu Tena akaweka Na task force kabisa Nora akiwa location Ile task force ambayo watu WA karibu Na Nora walikuwemo pia walienda Hadi location Na kumwambia director tumekuja kumchukua huyu chizi ametoroka nyumbani Na pia tunawaomba msiwe mnamchukua, Kisha watamkamata Kwa nguvu kumpeleka kwenye Gari, Nora atapiga kelele akiwa anapelekwa kwenye Gari kuwa yeye sio mwendawazimu Na watu ndio watazidi kuamini kuwa Yu wazimu.

Hali ilikuwa tete Kweli mwisho wa siku ilibidi baadhi ya nduguze wamfanyie visomo vya kumtuliza Kwa Sababu alikuwa wazimu Kweli.

Ndicho kilicho tokea Kwa Lil Kim, PAC told her that she was ugly, she Blvd on his words and went ahead to prove him.wrong by doing surgery only to end up being actually Ugly.

Ni kama PAC alitabiri kwamba Lil Kim will be ugly
 
Mtu akikutamkia maneno mabaya yakatae au mrudishie maneno yake in the spot and usiyaweke kichwani kwako I mean usiyaamini
 
Mi niliambiwa ntakuwa doctor ila nimekuwa mwanasheria,hii kitaalam inaitwaje
 
Waswahili wakitaka kumtupia mja maradhi ya uwendawazimu huwa hawaendi Kwanza Kwa mganga but huwa wanaanza Kwa ku spread rumours mtaani kwamba Fulani amekuwa mwendawazimu.

Kwa mfano kama waswahili wanataka kumroga Kiranga maradhi ya wazimu wataanza Kwa kusambaza uzushi mtaani Kwamba kiranga ameugua wazimu. Kiranga akisikia uzushi Huo atapita mtaani kukanusha Kwa Kipaza Sauti kuwa yeye sio mwendawazimu . Kadri atakavyo kuwa akijaribu kukanusha kuwa yeye sio mwendawazimu ndio watu watakapo zidi kuamini kuwa kiranga Yu mwendawazimu Kwa Sababu MTU mwenye akili timamu haitaji kutembea mitaani Na Kipaza Sauti kuwaambia watu kuwa yeye si mwendawazimu.

Mwisho wa siku kiranga will be mad that the people in the community don't want to believe that he is not mad.

Hii iliwahi kumtokea Nuru Bint Nassor ( Nora) Yule muigizaji WA Kaole. Kisa alitembea Na mume WA MTU Yule mwenye mke akasambaza hizo rumours kuwa Nora amekuwa wazimu Tena akaweka Na task force kabisa Nora akiwa location Ile task force ambayo watu WA karibu Na Nora walikuwemo pia walienda Hadi location Na kumwambia director tumekuja kumchukua huyu chizi ametoroka nyumbani Na pia tunawaomba msiwe mnamchukua, Kisha watamkamata Kwa nguvu kumpeleka kwenye Gari, Nora atapiga kelele akiwa anapelekwa kwenye Gari kuwa yeye sio mwendawazimu Na watu ndio watazidi kuamini kuwa Yu wazimu.

Hali ilikuwa tete Kweli mwisho wa siku ilibidi baadhi ya nduguze wamfanyie visomo vya kumtuliza Kwa Sababu alikuwa wazimu Kweli.

Ndicho kilicho tokea Kwa Lil Kim, PAC told her that she was ugly, she Blvd on his words and went ahead to prove him.wrong by doing surgery only to end up being actually Ugly.

Ni kama PAC alitabiri kwamba Lil Kim will be ugly
Nilileta uzi wangu wa Uchawi 101.. nimeandika vitu vyote hivo mkuu.. nashukuru umepita mule mule... uchawi ni creation of negative energy.. na ni kweli kwamba maneno yanaumba.

njia pekee ya mtu kupigana na maneno mabaya juu yako ni ku maintain positive attitute na kusali sana, pamoja na mambo mengine..

Ukiyafanya hayo hakuna mtu ata mess up na maisha yako..
 
Pamoja Sana kaka naomba link ya Uzi wako
Nilileta uzi wangu wa Uchawi 101.. nimeandika vitu vyote hivo mkuu.. nashukuru umepita mule mule... uchawi ni creation of negative energy.. na ni kweli kwamba maneno yanaumba.

njia pekee ya mtu kupigana na maneno mabaya juu yako ni ku maintain positive attitute na kusali sana, pamoja na mambo mengine..

Ukiyafanya hayo hakuna mtu ata mess up na maisha yako..
 
Since 96 she on TV like BET and MTV ,TRL ,106 ,She is "Bella" to that death , don't ask why Cause the "Mafia" is P-you-S-S-why.

Hivi Hate Me Now wa Nas akiwa Backed Up na Puffy Daddy ilikuwa DISS kwa Kim?
Hate me now haikuwa diss kwa yeyote bali tambo tu za wasanii kwa walichokuwa nacho na kuhisi wanaonewa donge 'dekishia' kiduchu hapa;
If you wanna hate me, then hate me, what can I do but keep gettin money, funny I was just like you I had to hussle hard, never gave up til I made it........
 
Its Time to take Affirmative Action son! The Firm Baby Vol 1.
 
Nilileta uzi wangu wa Uchawi 101.. nimeandika vitu vyote hivo mkuu.. nashukuru umepita mule mule... uchawi ni creation of negative energy.. na ni kweli kwamba maneno yanaumba.

njia pekee ya mtu kupigana na maneno mabaya juu yako ni ku maintain positive attitute na kusali sana, pamoja na mambo mengine..

Ukiyafanya hayo hakuna mtu ata mess up na maisha yako..
True wanalogwa kwa sababu hawana maarifa,na hawana macho ya kuona miti yote hii aliyoumba Mungu
 
Since 96 she on TV like BET and MTV ,TRL ,106 ,She is "Bella" to that death , don't ask why Cause the "Mafia" is P-you-S-S-why.

Hivi Hate Me Now wa Nas akiwa Backed Up na Puffy Daddy ilikuwa DISS kwa Kim?
Huo wimbo ulikuwa ktk Zama za jay z Vs nas.baada ya Biggie kufa crown ya king of new York ilibaki wazi so jay na Nas they all claimed to be king of new York
 
Back
Top Bottom