koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Dah sina hakika haka kalugha kagumuMbona inawezekana sema haujakutana tu na rasi simba.
Yule mtu ana mbwinu shirikishi asee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah sina hakika haka kalugha kagumuMbona inawezekana sema haujakutana tu na rasi simba.
Yule mtu ana mbwinu shirikishi asee.
Yule mtu anahistoria ya kuwafundisha watu wenye utindio wa ubongo na wakaelewa, sembuse ww timamu ila labda kama hauna nia, hapo haitawezekana.Dah sina hakika haka kalugha kagumu
Mbona inawezekana sema haujakutana tu na rasi simba.
Yule mtu ana mbwinu shirikishi asee.
Dah basi sawa nijitahidi kutafuta adaYule mtu anahistoria ya kuwafundisha watu wenye utindio wa ubongo na wakaelewa, sembuse ww timamu ila labda kama hauna nia, hapo haitawezekana.
Hapana imeandikwa usihukumu usije uka hukumiwa!........ hiyo ni vile weye unaona ni hukumu sahihi dhidi yangu!! lkn mie ni moto! lakini pia ujue shetani anatumia watu kupotosha watu! uonavyo wewe sivyo nilivyo! ila umeniona kwa njia ya kipepo zaidi! ili upotoke!!Vitabu vimesema Mungu hataki watu wavuguvugu
Kama wamoto bakia wamoto, kama wabaridi bakia baridi ila usiwe vuguvugu
Kwanini unakua vuguvugu?
Huku nielewa Mkuu! Binafsi sijaumbwa na mungu wako huyo! kabisaaa! kwanza kamwe hawezi! hata kujaribu! wala kufikiria.tena umetamka vizuri tu! huyu mmoja kaniumba, na huyu Mama kanizaa! sasa unashindwaje kuona tofauti ndogo km hii Mkuu!Kwasababu umesema umeumbwa na mungu, maana yake hujazaliwa na mama yako
Daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]At least yeye hana wivu, Mungu ana lakujifunza hapo
Haaaa eti miti umri wa kuvuna sawa inankifungo cha sabayaNajua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!
Ukweli usemwe, Mwamba hakukurupuka kama Bwana Yuleee!! Amri zake zimesimama na practical kuzidi hata zile alizotuletea Bwana Yule ambazo ni Impractical... hazitekelezeki maabara wala kwenye karakana!
Just imagine! Hakuna aliyekutaka ushauri wala kukuuliza lakini from nowhere"...oh, najua uukitaka kutoboa usawa huu, wekeza kwenye kilimo Chifu! Maparachichi yanalipa big time! Amini usiamini Chifu, parachichi ni Green Gold"
Pumbaaavu! Kwani we mwenyewe hutaki kutoboa? Ina maana huzitaki hizo Green Gold?! Kwamba Njombe wanakochimbua hizo green gold hukujui, ama?!
Nenda kalime mwenyewe hayo maparachchi, kenge wewe... kwani nimekuomba ushauri? Unakuta mwingine hujamuuliza wala nini halafu eti anakushauri upande miti gani sijui ambayo kuivuna ni sawa na kifungo cha Sabaya! Hivi zimetimia kweli wewe? Yaani kosa la babako mwenyewe aliyeshindwa kukulipia ada ya kusoma kozi uitakayo, na matokeo yake ukaishia kusomea Misitu SUA, halafu umeona mi ndo wa kunidoshea jumba bovu? Unajifanya kutoa ushauri bila kuombwa ili upate sababu ya kupiga mizinga, sio?
Tena Wabongo kwa kupenda kutoa ushauri.... dah!!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni! Mwamba anajua! Unanipigia stori za matatizo yako kwani yananihusu nini wakati mwenyewe nina matatizo kibao?! Nenda kasimulie kanisani au msikitini huko, kama nako hawajakuona tapeli tu!
Asante mm naiprint niisome tena na tena ungetupa na version yankiswahili japo Umepotea Mwamba
[emoji23][emoji23] binaadam viumbe wajinga sanaAt least yeye hana wivu, Mungu ana lakujifunza hapo
Hamna hiko kitu hizo ni hadithi za wayahudi. Binadamu alipoanza kula na kushiba ndio ubongo wake ukaanza waza mambo alipogundua moto ndio akapata muda wa kusociolize kutengeneza dini na mungu . Yani hizo hadithi za mungu na shetani zipo vichwani mwetu tuu na ni idea za wayahudi ndio maana sehemu nyingine hawana idea za shetani wala mungu .Bonge la mada hii.
Huwa najiulizaga sana, shetani kabla ya kumuasi Mungu, ni siri gani za KiMungu alizoiba ambazo Mungu hakuweza kumnyang'anya? Lazima kuna siri kama hizi kanuni alizochukua zilizompa nguvu kubwa ndiyo maana kumshinda ni kisanga.
Ndiyo maana kuna watu wanaona mbona hizi kanuni zinafanana na za Mungu, ila tukumbuke Mungu anahukumu binadamu kutokana na lengo, nia au intention ya binadamu katika kutenda jambo fulani na siyo kwa kuangalia tu tendo lenyewe. Hapo tofauti kubwa ndipo ilipo.
Ziangalieni hizo kanuni kwa umakini mtaona kitu fulani.
Hii ya 11 nilimuonya mtu aache akajifanya kichwa maji sasa ket me destroy them they will cry the whole clanZisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.
Shida ni kupata magwiji ya Kuwacut off