Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Vitabu vimesema Mungu hataki watu wavuguvugu

Kama wamoto bakia wamoto, kama wabaridi bakia baridi ila usiwe vuguvugu

Kwanini unakua vuguvugu?
Hapana imeandikwa usihukumu usije uka hukumiwa!........ hiyo ni vile weye unaona ni hukumu sahihi dhidi yangu!! lkn mie ni moto! lakini pia ujue shetani anatumia watu kupotosha watu! uonavyo wewe sivyo nilivyo! ila umeniona kwa njia ya kipepo zaidi! ili upotoke!!

siku zote shetani atakuonyesha mapungufu tuu! mfano unaweza ona kabisaa mchungaji wako anaingia guest na kimwana, utabaki kuona kuumbe hkn uungu ndani yake! bila kujua kwamba wale wanajaribiwa mno na shetani!!..... mwenzako jioni anatubu wewe unateketea!

Mie kuwa Baridi sometimes ni sawa!! ili imani yangu ikomae!!! hata manabii walioongea na Mungu, live wali jaribiwa sana tu! tena binafsi napenda kuyashinda majaribu, na ukiona ivo!! ni shetani amenijaribu! siyo kwamba mie siwezi jaribiwa! naweza kujaribiwa sana km yesu alivyo jaribiwa na shweitani!!

bila shaka km ungemuona Yesu alivyo bebwa na shetani kumpeleka mnalani kumjaribu wewe ungekufa moyo, sababu ungesema kuumbe hawa wanaelewana mbona wamebebana wkt wa mfungo? tena bila vurugu! bila shaka ungejiuliza daa! jamaa anaenda kugonga msosi kwa siri!! anatudanganya sisi kuwa amefunga?
 
Kwasababu umesema umeumbwa na mungu, maana yake hujazaliwa na mama yako
Huku nielewa Mkuu! Binafsi sijaumbwa na mungu wako huyo! kabisaaa! kwanza kamwe hawezi! hata kujaribu! wala kufikiria.tena umetamka vizuri tu! huyu mmoja kaniumba, na huyu Mama kanizaa! sasa unashindwaje kuona tofauti ndogo km hii Mkuu!

Ndiyo! kwa maana nyingine tena umesema vizuri sana, binafsi yupo mwenyewe!! nimeumbwa nae haswaaaaaa! sijakosea!! na niko ivo! Mama yangu yule alitumika tu km gari la kunileta Duniani yaani kanizaa tu!

kumbuka siyo kila Binadamu unae muona mwenye mwili ni ameumbwa na Bwana, ninae mjua sisi tulio wake tuna jijua! ujue! tena ni rahisi sana kuwa jua wasio watoto wake, yaani wale wasio ndugu zetu!
 
Haaaa eti miti umri wa kuvuna sawa inankifungo cha sabaya
 
Hamna hiko kitu hizo ni hadithi za wayahudi. Binadamu alipoanza kula na kushiba ndio ubongo wake ukaanza waza mambo alipogundua moto ndio akapata muda wa kusociolize kutengeneza dini na mungu . Yani hizo hadithi za mungu na shetani zipo vichwani mwetu tuu na ni idea za wayahudi ndio maana sehemu nyingine hawana idea za shetani wala mungu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…