Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Amri za Bwana yule ambaye kwa tafsiri yangu ni Yesu ni ngumu sana kwa sababu ukitaka kuzitekeleza lazima akuwezeshe mwenyewe kuzifuata.

Kama unamaanisha bwana yule mwingine simo
 
Kwa maana hiyo ile amri ya "ukipigwa shavu la kushoto ugeuze na la kulia" tumepigwa?? Sio poa
 
namba 4,ukiimudu vyema hakuna nyingine yeyote kati ya hizo zilizobaki itakayokushinda maana hutakua ukifuata amri za shetani bali wewe mwenyewe ushakuwa shetani pia.
Mgeni akikuzingua mzingue mazima mpaka aombe poh[emoji23]
 
Bora nibaki naelea aisee.
 
Najua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!
Mwamba umepiga mle mle aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…