To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣Haya bhanaKweli mrembo. Sisi wazee Huwa hatudanganyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Haya bhanaKweli mrembo. Sisi wazee Huwa hatudanganyi
Hayo ni mawazo Yako, Mimi nimekupa habari kama ilivyokuwa wakati huo.Nilivyofika pale kwenye ahadi ya magari niligundua Azim Dewji alitoa ahadi ambayo hata Simba wangeshinda angeshindwa kuitekeleza maana hayo wakati hayakuwepo duniani na hadi leo hayajawahi kutengenezwa(hizo Toyota Kia).
Hata hivyo Rais Mwinyi alitoa kauli hiyo kutokana na matokeo mabaya ya mara kwa mara kwa timu yetu ya taifa wakati huo sio Simba,acha uongo.
WWala sijisumbui kulisoma maana ni chuki binafsi tuu hizo..nimeishia kichwa cha habari hapo juu..ila nimekuja nimeheshimu wito wako...Hili bandiko alione Kalpana ili awashauri mbu3 wenzake waache kuwa vichwa vya wendawazimu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Sasa mkuu kama ingekuwa chuki au ni habari isiyo na ukweli Wana Simba si wangekuwa wamemshukia tayari?WWala sijisumbui kulisoma maana ni chuki binafsi tuu hizo..nimeishia kichwa cha habari hapo juu..ila nimekuja nimeheshimu wito wako...
Marahabaa Binti yangu...Nimegundu watu wengi humu ni wazeee...shikamoonii...
KIA ndio ulikua usafiri maarufu Kwa hapa DSM kama daladala nikama Sasa zinavyotesa Nissan Civilian. Mnajazana Nyuma uko ata Dereva haoni. KIA zilikuja baada ya Serikali kuruhusu biashara huria kwenye usafirishaji maana Kampuni za usafirishaji za Serikali UDA zilizidiwa na wingi wa Watu.Nilivyofika pale kwenye ahadi ya magari niligundua Azim Dewji alitoa ahadi ambayo hata Simba wangeshinda angeshindwa kuitekeleza maana hayo wakati hayakuwepo duniani na hadi leo hayajawahi kutengenezwa(hizo Toyota Kia).
Hata hivyo Rais Mwinyi alitoa kauli hiyo kutokana na matokeo mabaya ya mara kwa mara kwa timu yetu ya taifa wakati huo sio Simba,acha uongo.
we nyani MBWA NI JINA LILILOTAIFISHWA KWA AJILI YA WANAUTOPOLO TU.Aisee kumbe Hawa mbwa ndio chanzo cha nchi hii kuitwa KICHWA CHA MWENDAWAZIMU?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mfungwe mbele ya raisi wa nchi na kombe likapepea? Halafu Simba haijawahi kuwa na mafanikio yoyote ya kimataifa.
Ninachojua ni Simba imepiga hatua fulani kimataifa ila haijawahi kufanikiwa popote kwenye angaza izo za kimataifa..
Pia hata hili caf cup kumbe lilikuwa ni bonanza tu lililofadhiliwa na Dikteta Moshood Abiola na sio kama mnavyojinasibu kuwa mlifika fainali kombe la shirikisho.
[emoji3]Nimegundu watu wengi humu ni wazeee...shikamoonii...
Nadhani mleta mada ametereza kidogo, sio toyota KIA bali ilikuwa ni KIA. Kama sikosei ilikuwa gari za kutoka Korea, kwa kipindi hicho ilikuwa ni gari popular Tz/Dar.Nilivyofika pale kwenye ahadi ya magari niligundua Azim Dewji alitoa ahadi ambayo hata Simba wangeshinda angeshindwa kuitekeleza maana hayo wakati hayakuwepo duniani na hadi leo hayajawahi kutengenezwa(hizo Toyota Kia).
Hata hivyo Rais Mwinyi alitoa kauli hiyo kutokana na matokeo mabaya ya mara kwa mara kwa timu yetu ya taifa wakati huo sio Simba,acha uongo.
Kiukweli huwa nikiangalia mpira wa sasa wa Simba na Yanga na Tanzania kwa ujumla, najaribu kufananisha na miaka ya tisini then naangalia na maslahi wanayopata wachezaji zama hizi daah ni mbingu na ardhi.Kuna wapuuzi wenzenu wa Simba uwa muda wote Wana mwimba Chama.
Pale Simba viungo wajuu walikua Husen Marsha, George Lucas (Gaza), Michael Paul (nailon) Kwa uwezo walio kua nao Uyu Chama wenu wa Sasa hata Viatu vya ao watu haruhuaiwi kuvibeba achana na kukaa Bench.
Pale Yanga 1993 viungo vessel tile Issa athuman, Method Mogela , Stephen Musa. Hamis Tobias Gaga anasubiri sub Kwa Stephen Musa.
Ao jamaa Kwa uwezo walio kuanao Feisal wasasa ata Bench hakai.
Sasa hivi fedha Ipo ila mpira hamna, chakushangaza kwasasa soka linaendeshwa kitaalamu sana ila wachezaji wazuri ni wachache. Mfano mdogo Kwa Simba au Yanga ya 1993 kama Kwa awa mapro wanatoka nje ni wachache sana wangeweza kupata namba kwenye kikosi Cha kwanza Cha hizo timu.Kiukweli huwa nikiangalia mpira wa sasa wa Simba na Yanga na Tanzania kwa ujumla, najaribu kufananisha na miaka ya tisini then naangalia na maslahi wanayopata wachezaji zama hizi daah ni mbingu na ardhi.
Siku hizi vijana uwezo mdogo kelele nyingi na maslahi yako juu kweli huku kipindi cha nyuma watu walikuwa 'mafundi' haswa halafu hakuna maslahi.
Mtu aliye shuhudia mpira Tz wa miaka ya 90 kurudi nyuma hawa vijana wengi wa leo ataona wanaruka ruka tuu.
Kwa maoni yangu, nadhani ubabaishaji wa mfumo mzima wa michezo hapa nchini umefanya hii tasnia kupuuzwa sana. Jinsi set up ya wizara husika pamoja na vyombo vyenye dhamana km TFF nk vinavyo endesha mambo yao.Sasa hivi fedha Ipo ila mpira hamna, chakushangaza kwasasa soka linaendeshwa kitaalamu sana ila wachezaji wazuri ni wachache.
[emoji2][emoji2][emoji2]Walio bahatika kumuona Yusufu Macho au Hamis Tobias Gaga kwenye ishu ku Comand mpira au kupiga mashuti basi Feisal hafiki ata nusu.
Kuna mechi ya Yanga na Sigara pale shamba la bibi, Hamisi Gaga akiwa Yanga alipiga shuti na kuchana nyavu Sasa uwa najiuliza mpaka Leo Ile ilikua nguvu ya kupiga au Nyavu zilikua zimeoza!![emoji1][emoji1].
Hivi Dua alikuwepo!?..aliyeiponza ni mfadhili,alihonga baadhi ya wachezaji, fullback ya kulia ilikua uchochoro kusudi tu,mwameja akimlaumu 'mbona unamuacha huyo anapita tu'!?..hapo Azim dewji alijifanya anaumwa,kalazwa hospitali muda wote wa maandaliziWanasiasa ndiyo waliivuruga Simba katika fainali ile. Dua Said, mchezaji wa Simba aliyekuwa katika kikosi kile aliyasema hayo wakati anachambua mechi moja hivi karibuni. Baada ya kuona Simba wanakaribia kuweka historia, wanasiasa walikuwa wanapishana kambini kujaribu kutafuta umaarufu kwa mgongo wa mafanikio ya timu kama wanavyofanya sasa wanavyoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kabla na baada ya mechi. Matokeo yake wanawachanganya na kuwachosha wachezaji kusikiliza mahotuba yao.
Ipe Simba heshima yake maana imefanya mengi kwa nchi hii. Ushabiki wa timu pinzani usikutoe ufahamu.
Hao uliowataja walikua wakipiga haswa mashuti,macho alipiga shuti faulo makundi 2003,kipa mwarabu alielemewa kabisaWalio bahatika kumuona Yusufu Macho au Hamis Tobias Gaga kwenye ishu ku Comand mpira au kupiga mashuti basi Feisal hafiki ata nusu.
Kuna mechi ya Yanga na Sigara pale shamba la bibi, Hamisi Gaga akiwa Yanga alipiga shuti na kuchana nyavu Sasa uwa najiuliza mpaka Leo Ile ilikua nguvu ya kupiga au Nyavu zilikua zimeoza!![emoji1][emoji1].