Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa husein machozi ilikua amshirikishe jide lakini jide akakataa kisa machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku machozi akampa shavu maunda zorro. Je, wajua kuwa jina la Sugu la mh mr 2 alikopi na kupest kwa muigizaji wa kikundi cha tausi nchini kenya (komando sugu kiongozi wa machokoraa). Je, wajua kuwa msanii Fid q alikua ameacha mzik mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi ktk game zikamshawishi kurudi. Je, wajua mama mzazi wa king crazy Gk ni mbunge wa viti maalum kupitia Chadema. Ongeza na wewe ya kwako.

je wajua kuwa hayo yote uliyoyamention hapo hayana uthibitisho?

Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?
Je wajijua kama una majungu?
Je, wajua kuwa msanii Fid Q alikua ameacha mziki mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi katika game zikamshawishi kurudi.
Sio kweli aliyemrudisha ni prof J sio Juma Nature
Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?
je unajua kuwa wema.sepetu kila mwka anamika 26?
Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro.
Je, wajua kuwa jina la Sugu la mh Mr 2 alikopi na kupest kwa muigizaji wa kikundi cha tausi nchini Kenya (komando sugu kiongozi wa machokoraa).
Je, wajua kuwa msanii Fid Q alikua ameacha mziki mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi katika game zikamshawishi kurudi.
Je, wajua mama mzazi wa king Crazy Gk ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.
Ongeza na wewe ya kwako.
Je wajua juma nature anaweza kupiga viroba mia vya konyagi na bado akanata na biti? Je wajua fid kyuu aliumwa na nyuki na miiba ikashindwa kutoka akabaki na miuvimbe kama chunusi