Je wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikuwa amshirikishe Jide

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,445
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro.

Je, wajua kuwa jina la Sugu la mh Mr 2 alikopi na kupest kwa muigizaji wa kikundi cha tausi nchini Kenya (komando sugu kiongozi wa machokoraa).

Je, wajua kuwa msanii Fid Q alikua ameacha mziki mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi katika game zikamshawishi kurudi.

Je, wajua mama mzazi wa king Crazy Gk ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.

Ongeza na wewe ya kwako.
 
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa husein machozi ilikua amshirikishe jide lakini jide akakataa kisa machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku machozi akampa shavu maunda zorro. Je, wajua kuwa jina la Sugu la mh mr 2 alikopi na kupest kwa muigizaji wa kikundi cha tausi nchini kenya (komando sugu kiongozi wa machokoraa). Je, wajua kuwa msanii Fid q alikua ameacha mzik mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi ktk game zikamshawishi kurudi. Je, wajua mama mzazi wa king crazy Gk ni mbunge wa viti maalum kupitia Chadema. Ongeza na wewe ya kwako.

Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?
 
je wajua kuwa hayo yote uliyoyamention hapo hayana uthibitisho?
 
Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?

Hahaaaaaa!!!!
kumbeee dokii alidanganya hvyooo???
enzi zile tulikua tunabishana kihomehome kwamba dokii mkenya au mtz...!!!!
 
Je wajua kuwa mleta mada ni mtu wa karibu sana na sho** wa Kipindi cha jahazi cha wafu fm? "Kimlima "!
 
Je, wajua kuwa msanii Fid Q alikua ameacha mziki mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi katika game zikamshawishi kurudi.

Sio kweli aliyemrudisha ni prof J sio Juma Nature
 
ni kweli jay alimshawishi kupitia album yake lakini nature ndo alimfata kwao mwnza na kumdanganya kuwa majani (p funk) anamuulizia ampe lebo kumbe nature alikua anamdanganya ili arudi dar ndo amwombee lebo kwa majani. Na kweli akafanikiwa.
 
Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?

Zamda,hebu geuka uchanganye na za kwako,hujui umri wa wema sepetu umesimama bila kuongezeka kwa muda mrefu,au ulivutiwa na keki tu
 
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro.

Je, wajua kuwa jina la Sugu la mh Mr 2 alikopi na kupest kwa muigizaji wa kikundi cha tausi nchini Kenya (komando sugu kiongozi wa machokoraa).

Je, wajua kuwa msanii Fid Q alikua ameacha mziki mwaka 2003 na kurudi kwao Mwanza lakini juhudi za juma nature za kumbembeleza arudi katika game zikamshawishi kurudi.

Je, wajua mama mzazi wa king Crazy Gk ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.

Ongeza na wewe ya kwako.

Je wajua juma nature anaweza kupiga viroba mia vya konyagi na bado akanata na biti? Je wajua fid kyuu aliumwa na nyuki na miiba ikashindwa kutoka akabaki na miuvimbe kama chunusi
 
Jee mwajua kuwa saivi ni saa 11:42 ucku laleni kesho muende kazini
 
Back
Top Bottom