idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Sep 30, 2014 #21 MstahikiMeya said: je unajua kuwa wema.sepetu kila mwka anamika 26? Click to expand... Te!te! Wema kufika miaka 30 labda 2025
MstahikiMeya said: je unajua kuwa wema.sepetu kila mwka anamika 26? Click to expand... Te!te! Wema kufika miaka 30 labda 2025
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,448 Sep 30, 2014 #22 idawa said: Te!te! Wema kufika miaka 30 labda 2025 Click to expand... Hahahaha
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,380 Sep 30, 2014 #23 Zamda Geuka said: Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!? je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m? Click to expand... Hahaha Kweli Dokii ni mutoto ya mujini akawaingiza chaka akina Bishanga
Zamda Geuka said: Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!? je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m? Click to expand... Hahaha Kweli Dokii ni mutoto ya mujini akawaingiza chaka akina Bishanga
P Pumb JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 295 Reaction score 104 Sep 30, 2014 #24 samahani hivi kati ya diamond na wema yupi ana umri mkubwa?
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Sep 30, 2014 #25 GANJA ROLLER said: je wajua kuwa hayo yote uliyoyamention hapo hayana uthibitisho? Click to expand... Je wajua kuwa bangi za kugongea zitakuchizisha??
GANJA ROLLER said: je wajua kuwa hayo yote uliyoyamention hapo hayana uthibitisho? Click to expand... Je wajua kuwa bangi za kugongea zitakuchizisha??
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,603 Reaction score 13,654 Sep 30, 2014 #26 je wajua kama najua ila nataka kujua zaid?
Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 116 Oct 1, 2014 #27 Je wajua nataka kujua meng zaid ua nnayojua.....?