Je wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikuwa amshirikishe Jide

Je wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikuwa amshirikishe Jide

Je wajua msanii Dokii aliongea kikenya na kudanganya ni ndugu yake Dama wa tausi kenya ili apate nafasi ya kuigiza kwenye kikundi cha mambo hayo!?
je wajua Wema sepetu ndo msanii wa kwanza kutengeneza keki ya birthday kwa 2m?

Hahaha Kweli Dokii ni mutoto ya mujini akawaingiza chaka akina Bishanga
 
samahani hivi kati ya diamond na wema yupi ana umri mkubwa?
 
Back
Top Bottom